@atuganilemwakosya: 🔥 “NIOMBEE TU… IPO SIKU NITARUDI KUMTUMIKIA MUNGU” — CHIEF GODLOVE AMJIBU AMBWENE MWASONGWE Baada ya ujumbe wa msanii wa Gospel Ambwene Mwasongwe kuhusu maisha ya Chief Godlove, kijana huyo amefunguka na kueleza kuwa bado hajawa tayari kurejea katika kumtumikia Mungu. Chief Godlove amesema anaamini ipo siku atarudi, lakini kwa sasa bado anaona ana “ujana mwingi”, akieleza kuwa akirudi katika maisha ya zamani atatakiwa kurejesha kila kitu alichonacho. Amesema pia anatambua kuwa hali yake ya sasa inawaumiza wazazi wake, kwa sababu amelelewa katika maadili ya Kikristo. Aidha, amesema anashangazwa na baadhi ya watu wanaojiita “walokole”, akidai kuwa baadhi yao ndio wanaoongoza katika kutenda dhambi na kuzungumza majungu. “Najua nawaumiza wazazi wangu. Huku niliko sio asili yangu kabisa. Niombeeni, nitarudi ila kwa sasa bado sana.” Chief Godlove pia amesema baadhi ya watumishi wa Mungu wamekuwa wakitumia video aliyowahi kurekodi kama sehemu ya mahubiri yao. 🙏 Ujumbe wake umeibua mjadala kuhusu safari ya mtu anayepambana kati ya maisha aliyochagua na misingi ya imani aliyolelewa nayo. #Atumedia #AtumediaGospelTV #ChiefGodlove #AmbweneMwasongwe #GospelNews
ATUMEDIA GOSPEL TV
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 15:43:44 GMT
Music
Download
Comments
Grace didas :
mungu akutetee 🙏🙏
2026-09-23 17:10:28
5
Familia Kibena :
ata mim walai mim namwamini san ambwen walai ni mtumishi wa mungu wa kwel
2026-09-23 17:12:22
11
ommy jaivah :
tatizo ukianza kua na kiu ya mungu atakujia tu.
2026-09-23 16:25:11
6
Irene Chacha :
mungu akutete kaka🙏🙏🙏
2026-09-23 16:52:44
5
Yasmin Saidi :
mungu.atakusaidia..kaka.ww.nimtumish.wa.mungu
2026-09-23 16:43:42
3
toto baya zuri kwa mama ake ❤️ :
Mm siwez rudisha
2026-09-23 18:36:03
1
Karen beaut salon :
Wakati wako ndiyo sasa usiipuze hii sauti
2026-09-23 18:26:00
1
user5937274873634 :
Yesu ni Bwana, utarudia tu kama uko na hio nia.
2026-09-23 16:14:51
3
jumanne :
kaka mungu akusaidie sana
2026-09-23 17:31:32
2
MFUMO ......TZ :
Baba uwasamehe.
2026-09-23 18:03:34
1
Deborah :
bado mungu anakuta umtumikie tii sauti ya mungu kubali kuacha yote
2026-09-23 17:50:23
1
paty :
naomba mungu asikilize majuto yako
2026-09-23 18:56:58
0
Siras Said551 :
ubalikiwe sana
2026-09-23 19:00:59
0
Reymlawa :
nimekupenda bure mchan nilikuwa namsikia mtumishi akisem habar zako nimelia san mungu akutunze sn
2026-09-23 18:48:18
0
ester mzola :
nimekupenda bure kaka angu
2026-09-23 18:53:32
0
jeremia sanga :
hongera kwa kusemea ukweli wengi wapo kama wewe wanaona aibu kukuli madhambi Yao ila wewe umekili hakika mungu anakuita kazi kwako kudungua mlango.
2026-09-23 18:54:06
0
Martha Leonard :
chief Godlove ni kijana mwema tu,,tuzidi kumwombea hakuna mkamilifu chini ya jua,,
2026-09-23 18:27:09
0
Roseth_Queen🫅 :
kaka angu nmeumia sana ila mungu ni mwema na hakuna alie mkamilifu hapa Duncan na mungu wetu ni mwingi wa rehema 🙏🙏 tumutumainie yeye
2026-09-23 18:42:39
0
Siras Said551 :
Unasema ukweli sana ubalikiwe
chifu
2026-09-23 19:02:03
0
florence chumo🇰🇪🇹🇿 :
Mungu akuokoe chief utoke huko
2026-09-23 18:38:03
0
Benn Benson :
Mungu AKUSAIDIE,.,.MUNGU ANAKUTAKA WEWE KULIKO KUWA MCHUNGAJI, USISUBIRI WITO,
NA UACHE KIBURI, UTAPATA VYOTE KWA YESU
2026-09-23 16:25:22
2
Aline Munezero :
njo urudishe alfu utumike kazi ya mungu
2026-09-23 16:55:13
1
IBRAH FROLA,,LOVE ❤️ YOU MAMA, :
dah,,kaka mbona umenyong'onyea sana
2026-09-23 18:43:34
0
dissy hd :
ujue amefka mwisho mbaya
2026-09-23 18:56:44
0
Mathias joseph :
ukishika pesa,,,muombe sana mungu.
2026-09-23 17:53:58
0
To see more videos from user @atuganilemwakosya, please go to the Tikwm
homepage.