mwabie diamondi kwamba dogo kakusisitizia usikate tamaa kwenda kumcha Mungu nenda dhehebu lolote lakilokole usikate tamaa Mungu ni mwema wa reherema maana Mungu hupendezwa wa watakatifu waliopo duniani miliki na vitu vilivyopo nibatili mbele za Mungu maana ni raisi sana ngamia kupita katika tundu la ngamia kuliko tajili kuingia mbinguni kisa ubatili ya fahari ambayo Yesu alikataa alipokuwa akijalibiwa.joeli lwaga kama upo kalibu na huyo kaka mpaka munaalikana basi nirahisi kumushawishi maana mbingu naye inamuhusu mbingu ni maskani ya Mungu na wanadamu hivyo jitahidi kumushirikisha Mungu amuokoe nayeye.hatutegemei eti nawewe ndo njia yakupata umaarufu wa nyimbo zako kisa umemuhusisha God guard you.
2026-09-23 19:08:57
0
Mr LOGAN :
20/20
2026-09-23 19:50:33
0
To see more videos from user @bellatvonline, please go to the Tikwm
homepage.