wengine wote waache ila mama Samia mfute. usimuingize kwenye ujinga
2026-09-24 10:08:47
1
Ezness❤❤ :
Yani hawa hawajui kama unawapenda jaman hujamchora mama ako unawachora wao lakin bado hawajali upendo wako kwao ebu nichore mm ctakucmanga
2026-09-24 09:39:59
1
Irene-Mobile-Hub :
Naomba unichore na hii picha
2026-09-23 19:45:29
4
DA MAMU😍💦 :
Bado kunichora Mimi t pambe yangu 😂❤️😂
2026-09-23 22:28:48
0
sammerahomary :
Kwan ulivyowawekaaa uliwaomba uwaweke
2026-09-23 16:57:06
6
🌺kim ney💦 :
mimi apa sijisikii kukaa kwenye mwili wako
2026-09-23 16:24:42
3
amaraluxebags8 :
Dah uyu mdada watu wangemuelewa tu jamani ni binadamu nae wenda alichora kwa upendo ata kama tattoo si nzuri lakin sio kumuatack hvyo 😔🙌💔 alighafrika ni binadamu nae wenda
2026-09-23 21:11:09
2
💥...𝑳𝑬𝑮𝑬𝑵𝑫...👊 :
Hivi Unampenzi kweli...?🤔
2026-09-24 09:06:11
0
🎀🎀ITS CHINAT🎀🎀 :
Unachokitafuta utakipata 😂
2026-09-23 16:32:02
2
Kichunanah🥀 :
Nikiwaambiaga watu kuwa umedata wanakataa wajionee sasa😂
2026-09-23 21:10:47
1
Jm brand :
Bado mm doumbia 😩🤧
2026-09-23 16:25:33
1
shamsa_nury :
Kwa hiyo mie nikajua tatoo zote kuna hata ex wako 😂😂😂😂
2026-09-23 17:29:14
1
AISHA Kisunzi😋 :
mama samia kama ujiskii kukaa kwenye mwili wetu sema tukufute😁😂😂
2026-09-23 19:31:01
1
angelvibes062 :
Alafu kwel watu wanakera jaman kuchorwa tuuh mtu anazani unataka pesa 🥺
2026-09-23 20:56:37
1
Linda Jeremiah :
Alivyo sema mama Samia aseme😂😂mtoe uniweke mwaya.
2026-09-24 05:45:23
0
💙hi it’s 🌸mimi🌸💙 :
Daaah
2026-09-24 05:40:01
0
Bega_og😜✨️ :
chora chora mambo😁
2026-09-24 10:16:55
0
Abdull Hafidh :
Nichore na mimi😂😂😂
2026-09-24 10:26:20
0
Aiem Mima🌸🌸🌸 :
Nimesikia umekamatwa
2026-09-24 10:11:49
0
joyline :
nichore dada
2026-09-24 06:00:33
0
Jm brand :
🔥🔥🔥first
2026-09-23 16:24:39
0
To see more videos from user @samairatz6, please go to the Tikwm
homepage.