@rwetakakachubo0: #creatorsearchinsights #paymenow

RwetakaKachubo
RwetakaKachubo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 16:39:39 GMT
224049
7798
472
970

Music

Download

Comments

lastborntz2554
lastborn :
we light up your life
2026-09-25 20:46:10
1
dittubn
Ninja 🥷🏾 :
Dada Mungu anakuona si kwa UONGO huo
2026-09-23 19:40:54
104
tethteth941
Teth :
hivi boda tulisha kosea wapi???? ama sisi ndohatuna akili timamu
2026-09-24 09:44:28
85
erren_ken
erren_ken :
ceramic material
2026-09-25 15:13:10
0
jrasheed60
J Rasheed cosmas :
Tuendelee KUWAOMBEA WALIOUWAWA OCTOBER 29
2026-09-24 12:36:04
22
men_joker
💲🅰️♏ :
Kwaiy zile waya ni hatari
2026-09-24 09:41:18
10
dmg.sticker
DMG Sticker :
huo waya umepita ndani kabisa ya geto langu.. kodi afu salasini
2026-09-24 06:49:18
32
land.empress
Lawyers Estate :
Mimi sinaga Urafiki na waya wowote wa umeme
2026-09-23 20:28:08
32
johnmsigalla
John Msigalla :
Kwa nn hawaweki tangazo la tahadhari kwenye hizo nyaya kama ni hatar?
2026-09-24 04:30:10
27
lin.n.lan8
lin n lan :
kwanini hakuna alama yoyote ya tahadhari kwenye hizo waya!!?
2026-09-23 20:52:28
16
mr.umeme
Mr umeme :
stay waya ,ni pole support Mara nyingi hufungwa nguzo ya mwisho,H pole,section pole au nguzo ambayo Kuna angle hiko kidude kinaitwa stay insulator lugha ya ufundi wanaita kikombe Kaz ya hiyo insulator ni ku block leakage current kuja grounds ili kulinda dangerous events eneohilo as electrical shock mtoa Elim kama hujajiandaa hiv kijitufe ndio nn.
2026-09-23 21:48:42
14
princess.urassa
madameCeo❤️ :
Mm mmoja wapo na ipo ndan kwangu😂
2026-09-23 19:24:45
6
user6161403310451
Christian didas :
kwanini sasa maamlaka ya nishati ya umeme na mafundi wanapo kuwa katika conference meetings wasishauri waletewe stay wire ambayo zinakuwa sipo covered pamoja stay rods ambayo imeunganishwa na base plate's ambazo zimeekewa covers maana tukitegemea pin insulators ambazo ni block 🚫 electricit maana maji yanapokuwa dropped flow down sasa electricians watuboreshee hili.
2026-09-24 10:44:52
6
saudah_27
saudah27 :
duh nimekumbuk mdg wng alishika hii akafariki hapohapo waya ulikuwa hauna hicho kijiwe😭
2026-09-23 22:38:58
5
credleavelin
credleavelin :
kwanini msiweke mafichoni, sasa zinawekwa kwenye mikusanyiko ya watu?
2026-09-26 04:46:55
2
user8651832656004
user8651832656004 :
kuna wafanyakazi niliwaambia watubadilishie nguzo ilikiwa imeoza walipokuja wakatoa pale chini ilipooza wakaichomeka ileile sijui limekaaje hili
2026-09-23 19:42:50
6
raphzmwairaphu
Raphuz :
duuuh basi mwenzio upo kalibu na ofic yangu na uwa nabembea sana kila day et
2026-09-24 11:14:37
5
rafikimwangoka_imf_
rafikimwangoka_IMF_ :
kwani haiwezekani kutengeneza huo waya uwe na cover insulator ?, hilo ganda litasaidia kama ikitokea hiyo itilafu
2026-09-24 06:44:59
5
joycega0
Mom mahir🥰 :
Dah sasa kwann msifanye uwezekano wakuziwekea yale magands ya juu maana kina watoto wanacheza anaenda kushika watu wazima tunaelewa watoto je
2026-09-24 04:50:21
5
eco7991
Eco7991 :
kama ni ivyo kwa nini zinawekwa bila kuandika neno hatari??? kingine kwanini wanaweka ambazo hazijafunikwa tena karibu na watu, kingine kwanini hamutoi taarifa na elimu pale wanapoweka hizo nyaya
2026-09-23 19:57:51
5
juma.makame472
TUTANKHAMUN :
Yani niukweli dada mungu akulinde ww naulieposti mm yashanikuta 🥰🙏🏻
2026-09-24 16:33:23
1
april20_ifa
April Taurus :
Wamegundua huo waya unaua watu wengi na mado wanaendelea kuweka hivyo
2026-09-26 13:19:17
1
haki12poi
Baraka BY :
Hawa wanatuua kijanjaa nimegunduaa [Laugh approved][Laugh approved]
2026-09-24 09:47:07
1
victorlyimo25
mr :
Nasikitika sana watakufa watu 50 hadi 60 kwa shorts za umeme hiki kipindi cha El Nino
2026-09-23 20:58:38
1
kulwa224
jk :
kwahyo kama viongozi mmejipangaje kutoa elimu Kwa wote??
2026-09-25 17:56:37
1
To see more videos from user @rwetakakachubo0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About