daaaaaaah inaniuma sanaaaaaaa niliambiwa na wazaz nikajikuta mwamba atabadilika tuuuuh picha linaaanxa kwa balua kaaandika jina tofauti😔😔😔na lake miaka ikapita nikazaaa mtoto wa 1 hata elf 5 yake ya mahal wazaz wang awajui nikazaaaa wa 2 hata hamsini miaka ikafika 9 naish nae nikakubal ad kuslim ndoa niliiiisikia kwa masikio nw ananambia hanitaki na hawez endelea nami aiseeeeeee 🤣🤣🤣 nacheka kam mazuli kumbe naumia sanaaa mida umeeenda wakat umepita pia daaaah😔😔😔😭😭😭
2026-09-24 02:29:40
2
kolleth Revocatus :
yan umegus kwang watt wa wil tumekaa miak 7 ana mpang na mm wal watt😥😥
2026-09-24 04:37:46
1
my sweet 🥰 :
kabsa Yani 👌
2026-09-24 10:39:28
1
Mariam Merry :
SubhaAllah 😓
2026-09-24 10:43:44
1
Aisha Ommy :
kweli kabs
2026-09-24 03:47:42
1
pretty beby :
naomb ufungue nipat nichukuw
2026-09-23 20:47:44
1
Amima sabra :
naoimba basi jamani ifunguee
2026-09-24 11:26:13
0
Rahma Chalile :
ya Allah 2p mwisho mwema Kam unanisema mm 2 jaman duuh kila nikimwambia njoo ujitambulishe hatak
2026-09-24 12:02:47
1
Don Iddi :
🥰🥰🥰
2026-09-23 18:27:51
1
jamal :
❤️
2026-09-24 10:46:58
0
To see more videos from user @ukhtywaswayf, please go to the Tikwm
homepage.