@mpmagari: HAPA MADALALI WAMETOKA KABHISA😁🤣😅 #bmw #changamoto #madalali #tanzaniantiktok🇹🇿 #magari

mpmagari
mpmagari
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 16:57:34 GMT
40870
1154
88
293

Music

Download

Comments

ssm10_7
SSM :
Ring piston
2026-09-24 09:56:34
1
wangara.auto.solut
WANGARA AUTO SOLUTION & SPARE :
Mix by Yas 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-24 07:06:01
1
weneverfall6
weneverfall6 :
BMW MASHISHA[Tears of joy]😂😂
2026-09-24 05:54:55
1
wise.man0681
wise man :
E it means elimika
2026-09-24 07:33:21
0
silviagustavo4
silviagustavo❤️ :
Naona watu wanacheka kisa ni namba E elimu ya namba za usajili wa gari halina uhusiano na date of manufacture ,,, hizo ni namba za mtiririko wa magari tu yanayo ingia tz sasa sijui kinacho chekesha hapo ni nini gari inaweza kuwa namba E lakini sio mpya wala sio latest
2026-09-23 23:57:37
20
amanipeter305
amanipeter305 :
gari ya diesel kawaida kabisa kutoa huo moshi
2026-09-24 12:43:11
1
tynest56
fine as wine :
hizo gari hazinaga hiyo shida kabisa , hapo itakuwa imeyoka mara moja tu tena kwa uzembe wake
2026-09-24 04:07:05
6
costaralexander6gmail.co
Costa Diego🛠 :
shida ndogo sana hiyo ikija masaa ma 3 imeisha
2026-09-24 06:38:09
3
thaddeussshirima
Thaddeuss Shirima :
kwani fundi alie kagua gari anasemaje
2026-09-24 13:21:56
1
bukabuye
️ :
Bmw Mashisha
2026-09-24 10:19:03
1
papaambouf
Papaa Mbouf :
mnaocheka wote mna dhambi 😂😂😂😂
2026-09-24 08:43:10
1
kubwalamaaduiii
Kubwa la maadui 😂🫵🏾 :
Afu kuna mtu anaisema namba D yangu😂🙌🏾
2026-09-23 22:30:52
6
electrician1630
Electrician :
lkn swala la gari kutoa moshi si ishu ndogo sana au mwenye anajua anielekeze ila me naona ni service ndogo ambayo haizidi 50k tsh
2026-09-23 23:02:57
5
abdul.makwizi
Abdul Makwizi :
nahapo dalali sim apokei apo🤣🤣🤣
2026-09-24 00:13:04
1
wadrock075123
wadrock :
hahahha siii iiapaaa
2026-09-23 22:13:30
2
kimdady97
Kimy Dady :
2026-09-24 09:13:18
1
dudukwe18
Dudukwe wa mchongo :
Mbona mnacheka kama Anko T
2026-09-24 06:48:03
1
jusst_wardah
jusst_wardah :
Ila BMW🤣🤣🤣🤣
2026-09-24 09:42:45
1
user4673974187400
user467397418740 :
hhahahahaha
2026-09-24 10:27:16
1
mr.og.fashion
Mr og fashion :
🤣🤣🤣 madalali oyeeeee
2026-09-23 20:25:48
3
sam.mallya3
Giantpoultryfarming :
Hapo ni issue ya mafuta jmn. hata hyo gari haina shida.labda ipate shida kutokana na hayo mafuta waliyomwekea lkn hapo lilipo halina shida linatoa uchafu uloingia kwenye engine
2026-09-24 05:53:21
3
yosiaeliabi
Yosia Eliabi :
sasa mafuta yasiungue jamani
2026-09-24 04:35:14
1
bira.kuchoka1
Captain 🥷🪖🇹🇿💪💀 :
Daah
2026-09-23 22:45:52
1
geofreymtui1
Beduzi :
mmmh
2026-09-24 03:22:30
1
j4.phone.point
J4 PHONE POINT $ ELECTRONIC :
Ila kaka
2026-09-23 23:03:26
1
To see more videos from user @mpmagari, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About