@massoudkhaifan: Upendo wa kweli wakati mwingine hauhitaji sababu nyingi; moyo hujua tu mtu anayempa amani. Ni hisia zinazokufanya umkumbuke bila sababu, utabasamu unapomfikiria, na utamani uwepo wake hata akiwa mbali. 🥀 #mahdankhaifan #foryou #fyp #viral