@islamicswahilinet: Jitihada Zako Ndio Zitafanya Allah Akuchague! Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 17:05:36 GMT
10708
1573
18
19

Music

Download

Comments

user6367757512049
user6367757512049 :
nenoilo
2026-09-23 18:42:28
0
user5946962749607
user5946962749607 :
mungu atufanyiye wepesi tuwe wenye kumnyenyekeya Allah
2026-09-23 17:23:54
8
darlngdarling3
Darling Said :
Allah atujalie mwisho mwema insha allah
2026-09-24 03:31:38
2
kadumaabra
abraham :
uwa nakaa najiuliza aliye wahi toa hukmu juu ya dada yetu snura kipindi cha nyuma akatangulia mbele ya haki yeye, kisha snura akabaki na akaja kumrejea Allah 😶 funzo kubwa kutonyooshea vidole waliopotea kwani watu urejea na Qadar zao kua njema mwishoni.
2026-09-24 06:55:13
3
hawa.ngolo90
Hawa Ngolo :
Kabisa 🙏🙏🙏
2026-09-23 21:18:06
1
abediathumani1
Abed matomola :
mashaallah maneno mazito sana kwa wenye kutafakari
2026-09-23 18:18:07
2
zainabpaso
Zainab Paso :
Inshallah
2026-09-23 18:06:05
1
director_mswahili1
Ally mswahili :
mashaallah snura
2026-09-23 17:27:50
1
queen.aisha3807
queen.aisha3807 :
🤲
2026-09-23 21:50:26
1
user5378148485818
user5378148485818 :
snura mungu atuongeze tuione akhera
2026-09-24 10:37:56
0
user4577937199965
aisharuhetta :
kweli kipenzi Allah atuongoze tufanye jutihada na atuchague
2026-09-24 15:18:05
0
user81759344331373
Katika Iman🕋 :
Tunamuomba Allah atuongoze sisi na vizazi vyetu
2026-09-24 06:55:08
0
mwadina123
Mwadina :
mungu akubaliki
2026-09-24 08:04:44
0
user81759344331373
Katika Iman🕋 :
Tunamuomba Allah akujalie umri mrefu na wenye baraka na mwisho uliokuwa mwema
2026-09-24 06:55:29
1
vida_ui
ABUU ™ :
🥰🥰🥰
2026-09-23 18:55:02
1
zaimor_231
🪷 zaimor | زيمور 🪷🌼 :
🌹🌹🌹
2026-09-23 19:57:34
0
pretty_maya39
pretty_maya :
❤️❤️❤️
2026-09-24 05:02:56
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About