@gideonimathew: Shetani anacheza na akili zenu na mnajifanya wajanja, kila mtenda dhambi huwa anamshambulia mtenda dhambi mwingine kwa sababu yeye hayuko kwenye eneo hilo, niwambie jambo ndugu zangu ebu kwanza sisi tuwe na nguvu ya kumshinda shetani alafu tuwasaidie walioko gizani, @msemajiwawanachi26 #gospel #gideonimathew #shuhuda #injili #tanzaniantiktok🇹🇿

gideonimathew
gideonimathew
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 17:08:24 GMT
14025
1146
56
18

Music

Download

Comments

40text
✝️المسيح :
Daa! fact
2026-09-23 18:50:44
0
arusha.boy3
Arusha boy :
shetani anawaweka watu kwenye mafungu,very true
2026-09-23 18:36:43
6
user47793637415
PROPHET SAMWELl :
ubarikiwe kwajinarayesu
2026-09-23 17:14:50
2
lameckjoseph1612
Shifuu jr :
Nikwel
2026-09-23 20:04:15
2
mwalimjumanne
j4. rassy pilimo jr :
shetani nitabia sio kiumbe
2026-09-23 20:16:13
0
im_moses24
Moses  :
God bless you bro
2026-09-23 17:17:57
1
calvin.maro0
calvin maro :
Mwenyezi Mungu akusaidii kubadili tabia bali ni mimi mwenyewe napaswa kuikata nafsi haribifu kulinganana matokeo mabaya ya aina flani ya tabia niliyonayo ....Imani inajengwa na matendo na matendo ni tabia.Tabia ndio itakayonichagulia maisha.......Vijana wa sasa tunazikwa kutokana na tabia.Tabia ndio itakayokufanya kukuwa kiimani au kiroho.Kumbuka Mungu akubadilishi tabia ni jukumu lako wewe mwenyewe
2026-09-23 20:57:19
0
bencarson2995
Ben Carson :
Amina sana mtumishi wa Mungu 🙏🙏
2026-09-23 19:22:46
1
renahxhilo
Mwalimu senene :
Ni sawa lkn ulevi sio dhambi according to christians✝️husije linganisha na usodoma pliiz
2026-09-23 20:01:41
0
brayzon.shirima.s
Brayzon shirima &revo :
mtumish apo ndo unapo nibamba sana ndo mana nakufatilia unaongea ukwel sana
2026-09-23 19:00:16
2
eng_amos
@Eng_amos :
Kwan kulewa ni dhambi?
2026-09-23 22:02:52
0
user744693602554
hamisi aliy :
umeeleweka kaka
2026-09-23 19:57:36
0
user6975494636715
@nyamlega Tz :
shetan Huwa yukoje?
2026-09-23 20:51:56
0
sabuni090
sabuni :
kweli asee point
2026-09-23 20:05:27
0
ngosha_8
Senki 8 :
Leo umeongea ndugu yangu
2026-09-23 20:39:31
0
msome04
msome :
bro AI au
2026-09-23 17:18:23
0
labyboy.tz
petereliga :
sema jamaa kasema kwel 🥲
2026-09-23 20:19:06
0
alexsarumbo6
Alex Sarumbo :
kweli kaka
2026-09-23 20:48:06
0
nybhiln
CRNILN :
kweli kabisaaaa
2026-09-23 19:23:48
0
ercsonjacson
Ercson Jacson :
Kwel kabsa
2026-09-23 18:50:49
0
sam.anth78
mellisa :
kweli
2026-09-23 21:50:34
0
fabianvema77
Fabian Vema :
ubarikiwa
2026-09-23 19:26:19
0
user5948392997563
PJ Mushy :
point
2026-09-23 19:06:59
0
daniel.lucas6127
Daniel Lucas :
ni kweli kbs shetani anawagawanya watu
2026-09-23 18:58:54
0
godlistenmungure3
godlistenmungure3 :
shetani ni tapeli sana
2026-09-23 20:30:41
0
To see more videos from user @gideonimathew, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About