@drchinja: TUMIA NYUNGU HII KUWAWEKA WALIMU WAKO SAWA NA KUWAFUNGUA PIA -Mvumbasi wa majani -Maua ya wardi -Majani ya mti wa mrehani ( shajaratul alrayhani ) -Majani ya mbaazi -Karafuu maiti -Marashi rose ( rose water ) -Chumvi ya mawe Changanya kwenye sufuria kubwa mpaka ichemke kisha epua jifukize asubuhi na jioni kwa siku 7 au 14 ukimaliza chota maji hayo kidogo weka kwenye maji ya kuogea ukaoge FAIDA YA HII NYUNGU -Inafungua vifungo -Kutoa mikosi -Ni mvuto mzuri sana -Kuwafanya majini waseme kwa wale wenye ugumu wa kusema majini yao 🤝 #tanzaniantiktok🇹🇿 #qatar🇶🇦 #turkey🇹🇷 #oman🇴🇲 #kenyantiktok🇰🇪

DR CHINJA
DR CHINJA
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 17:09:38 GMT
14407
1071
54
42

Music

Download

Comments

wahdashtiy
mussaymaaar jr🇹🇿 :
subian masai maimuna sultana sultan shariffu simba
2026-09-23 21:26:21
2
chummy6812
🦋🎀chummy💦💦 :
napenda sana dhikr
2026-10-02 08:33:12
0
fettyrashidi7
fettyrashidi7 :
je ukik0sa ki2 kim0ja wap0 inakuaje me nimek0xa hay0 majan ya mti wa marehan
2026-10-02 17:31:24
0
shraydhan007
shray dhan :
Sijui kwnn nikizisikia hizi nyimbo mwili unasisimka
2026-09-28 11:44:43
0
cutte.shazlyaa
🦋🦋haitham actreess🦋🦋 :
mmh ww t3na
2026-09-24 12:35:09
0
mauwa3633
mauwa🌹🌹 :
yani kaka hizonyimbo nazikubali sana
2026-09-23 18:48:02
0
user1034754005816
mumy pop :
swadakta kk
2026-09-29 21:16:12
0
chambare
Ayshar Ally :
mm ctak kuckia hzo nyimb kuna cku nlipandsha nilikuwa peke yang
2026-09-23 20:06:32
1
munila9857
munila98 :
yaan kila nikisikia izi nyimbo nasikia furaha na uzuni kwa pamoja ata selew
2026-09-28 14:24:51
0
husna.bozz.mwinyi
Da huu mudathir♥️😍 :
Dr chinja mi naomba picha ya majani ya mleani
2026-09-24 07:46:44
0
nusrat.deograts
Nusrat Ramadhan :
Mbona simuoni jabali
2026-09-24 05:25:23
0
amina.mohamedy83
amina mohamedy :
hizi nyimbo mwili huwa unasisimka jmn
2026-09-26 15:19:26
0
user2745924953443
user2745924953443 :
naomba dawa ya kuweka kumbukumbu sawa.mana nikifanya au kuambiwa jambo sichukui muda nasahau
2026-09-26 17:38:21
0
user8381798172394
aisha :
Mimi mbaka nywele zina simama alafu najiona sikuepo hua nawaona kuwatumia sielew
2026-09-26 07:18:41
0
kasomi70
alhabiibi kasomi@777 :
hayo majani nimrehan au kivumbasi kikubwa maana siyaelewi
2026-09-24 10:39:16
0
allyiddy12
OFFICIAL MR ALLY :
mm izo nyimbo zinapenya mpak kwenye ubongo
2026-09-25 16:10:58
0
ugoko21
Ugoko :
saw kk
2026-09-25 10:57:12
0
maimunahhamis
Maimunah hamis :
natak unisaidie
2026-09-23 17:16:02
0
mishi.tz8
mishi tz :
jaman majin yang yamefungw nifuguwen jamn yafunguwe
2026-09-24 10:59:31
0
tembenyanje
Tembe Nyanje :
nasisimka maranyingi
2026-10-03 07:34:50
0
zuriatjaber
🦋🦋 Habby cute 🥰🥰 :
nikisikia nyimbo hiz kichwa kinaumaaa kizito
2026-09-30 10:22:23
0
lhaa9149
it's Lhaa🌹 :
ninavyo sikia hiyo sauti kichwa kinadunda kama moyo
2026-09-24 07:21:55
0
me.de.jija
Mãe De Jija :
🥰🥰🥰
2026-09-24 05:59:50
0
baby.zuu63
Baby Zuu❣️💋 :
🥰🥰🥰
2026-09-26 05:01:48
0
To see more videos from user @drchinja, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About