kiberiti kipo ndani ya hilo pull over wakati unatikisa mala ya kwanza una 2mia mkono wako wakushoto ila m2 akichagua kiberiti unatikisa kwa mkono wako wakulia HATA MIMI NILISHA WAHI FANYIA WATU NIKALA HELA ZA WATU
2026-09-23 20:15:53
4
Mr karma :
kiberiti kipo ndani ya sweta chenye njiti
2026-09-23 19:42:58
1
LIKOKO OG :
anakibeliti kingine kwenye mkono anao tikisa
2026-09-23 21:26:20
0
NYATUNYATU 45 :
kibeliti kipo kwenye koti
2026-09-23 20:27:21
0
Pascal_tz1 :
kiberiti kipo karibu na saa mkononi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-23 19:53:45
0
Naddo :
kakiwek kweny mkon wa kushot ten kipo kweny sweta
2026-09-23 22:00:14
0
Abunailly :
atumie mkono mmoja kutikisa alaf mboni hatak viguswe
2026-09-23 20:31:39
0
Sam voice🎙️ :
acheni kudangayika ilokoti alilo vaa Lina kibiliti kafunga na Balu bendi kemye mkono afanye bila koti akiwaza namtumia ela ya vocha
2026-09-23 20:57:02
0
anwardossa :
nshajua....hapo vyote vitup chenye njit anacho mkono wa kushoto..na ndo mana akishika chenye njiti anashika na mkono wa kushoto vyengine anatumia mkon mwengine
2026-09-23 21:37:17
0
Stan jr7 :
usinadilishe mkono wew tumia mkono mmoja kutikikisa hvyo viberiti vyote
2026-09-23 20:11:19
0
@wahabi :
Hivyo vyote havina njiti isipokua chenye njiti kakificha kwenye koti mkono wa kushoto,ndiyo mana anatumia mkono wa kushoto kutikisa
2026-09-23 22:04:16
0
Billishan Meshack :
zote tumia mkono mmoja wa kushoto alafu hamna yenye njiti hapo
2026-09-23 19:53:36
0
Joseph ihiki ⚽️ :
fàl uyu 😂
2026-09-23 21:12:39
0
pius Ereneste :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-23 19:48:07
0
To see more videos from user @phidasa1, please go to the Tikwm
homepage.