@official_kuhani_atson: JAMANI!

kuhani Mwakalambo
kuhani Mwakalambo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 17:57:34 GMT
39615
1689
280
110

Music

Download

Comments

blessedunny1940
Blessedone1940 :
alisema in this world we will have trouble but he has given us power
2026-09-24 03:27:42
0
user95880818582588
valentine sakwa :
its matter of understanding, sometimes its you who don't understand, hapa duniani bado kuna majaribu but nko salama moyoni
2026-09-24 07:28:01
1
aggymajura
silver( ag) :
Ameen God bless you
2026-09-23 20:53:08
0
danielsamoei3
Apostle Daniel :
Is true sir
2026-09-23 20:16:51
0
izack.michael
editha :
asante
2026-09-24 04:58:53
0
winnersschool3
WINNERS SCHOOL 💪 :
Mwalimu onesmo yupo sahihi kabisa
2026-09-24 04:56:21
7
aleichemgrace
AleichemGrace :
Though Satan should buffet, though trials should come,Let this blest assurance control,That Christ has regarded my helpless estate,And hath shed His own blood for my soul. It is well with my soul.
2026-09-23 21:13:24
0
esau1244
esau1244 :
mi nafikiri mwal onesmo yuko sahihi pia mtunzi wa nyimbo aliimbia Hali aliyopitia ni sawa pia lakini huwezi mpa access shetan ya kusema atanitesa also ni hicho kipande tu hajaukosoa wimbo wote 🙏
2026-09-23 20:05:27
29
brother_evance
Brother Evance :
vp ulisikiliza ibada nzima ya huyo mwl Onesmo au umekata clip tu?
2026-09-23 20:03:01
16
gilbertkileo3
GILBERT KILEO 🙏🙏 :
uzuri huyu baba anaga majibizano na mtu yeye ni nuru ata ng'aaa sana 🙏🙏
2026-09-24 00:36:20
12
ombeni.mbuya
Mbuya🇹🇿 :
niwaambie tu namkibali onesmo ila sio kila anachokuja nacho nakimeza mimi oooooooi tatzo watu tuna mihemko vp mnakumbuka kisa cha Ayubu? yaan pale shetani alifunguliwa rasmi amtese sasa nini maana ya huu wimbo? kama mnakumbuka maneno ya Mungu alimwambia shetani chunga roho ya ayubu itakuwa ngumu kunielewa
2026-09-24 02:18:15
11
nana_esp96
N A P E N D A E L 🧡 :
I'm glad umeuelezea wimbo wa "It is well with my soul". Maana narration yake ya kuupondea huu wimbo bila kujua chanzo chake inaumiza. Maana at the end of the day, shetani anatafuta roho za watu especially waliomuishia Kristo kama Mwokozi wao, na tunashuhudia nguvu za Mungu kutushindia pale ambapo tunavuka viunzi vya wakuu wa anga na mapepo yanayotumwa kutuzuia katika ulimwengu wa roho kuendelea kumtumikia Mungu. Nilivyofahamu story behind huu wimbo kwangu mimi ni ushuhuda mkubwa unaonipa moyo kutomuacha Mungu regardless.
2026-09-23 22:06:49
6
havilla.mhomi
Havilla Mhomi :
mwl alikua anafundisha maumivu ya moyo ndio mana katoa mfano wa hizo nyimbo fatilia hilo somo utamwelewa alikua anamanisha nini na kwann tuimbe maumivu ya mtu nyimbo nyingi watu wanaimba mapito yao walio pitia
2026-09-24 07:50:30
2
official_kuhani_atson
kuhani Mwakalambo :
Ingawa Shetani atanitesa, sitakata tamaa, kwa sababu Kristo alinikomboa.” Na hata ushindi wa msalaba hauondoi uwepo wa mapambano. Ushindi wa Kristo ndio msingi unaomfanya mwamini awe na moyo wa kusimama katikati ya mapambano. 1 Thessalonians 2:18 - Kwa hiyo tulitaka kuja kwenu, naam, mimi Paulo, mara ya kwanza, na mara ya pili, na Shetani akatuzuia. Hivi hapa Paulo aliongea kidhaifu? 2 Corinthians 12:7 - Na makusudi nisipate kujivuna kupita kiasi, kwa wingi wa mafunuo hayo nalipewa mwiba katika mwili, mjumbe wa Shetani ili anipige, nisije nikajivuna kupita kiasi. HIVI WATU HUSOMA MAANDIKO KWELI?
2026-09-23 20:49:49
8
mazindoyetu
user6313450762495 :
neno la Mungu ni pana, kila mtu ana namna ya kuliwasilisha
2026-09-24 04:57:32
2
blessedkim_
kimsarah :
jitahidi sana usikilize mafundisho yote usikate vipande utapoteza maana halisi
2026-09-24 08:19:47
1
goodterrorfav
goodterrorfav :
Ndo kuita rubbish? hata kama ni kukosoa, sio kuita rubbish wimbo ambao ndani yake unamtukuza Mungu
2026-09-24 08:35:25
2
masai.zakayo2
Masai Zakayo TZ :
kweli huduma ambazo wewe ndio kilaa kitu ni hatariii sana
2026-09-23 20:40:04
7
lsamjastin
Isam17 :
ilikuwa kidogo nidhani mahubiri ya kwanza yako sahihi ila baada ya kukusikiliza nimeelewa sana sana,Mungu akubariki hata ayubu alijaribiwa na shetani,kwa namna ingine aliteswa na shetani kwahiyo mtunzi alikuwa sahihi maana alimalizia Kwa kusema kristo ameona.....Ni salama Rohoni mwangu...usalama wa Roho ni jambo la muhimu la kutunzwa na kila mkristo
2026-09-23 20:30:10
5
bornagain_minister
Minister :
yeah apo umesema kweli kabisa watu wanajiamulia mambo
2026-09-23 18:14:46
5
emmanuel.sanga96
Emmanuel Sanga :
UKIWA NA KIBURI NA NA DHARAU WIMBO HUU HUWEZI KUELEWA
2026-09-24 05:16:01
1
professor_phineas
PHINEAS💎 :
nakubaliana na yeye, lakini ametoa nyimbo ngapi hili tuige huo mfano wa nyimbo zenye anasemea
2026-09-24 07:32:55
2
lightally1
lightally :
kweli yesu alitufia msalabani hatukataa ila hakuna mahali alisema kwamba hatutakutana na maharibu maisha yetu ni maharibu ila inabidi tujipe moyo kwamba baada ya haya yote Bado ni salama rohon kwangu ni wimbo wangu pendwa hasa ninapopta majaribu maumivu dharau za dunian Huwa nasikiliza huu wimbo nikijiambia nisalama rohon mwangu Bado ni salama hta Kwa haya ninayoyapitia
2026-09-24 06:31:30
2
mathliderrashidy
mathlider rashidy :
mbona mnatuchanganya,tunashindwa kuelewa
2026-09-23 20:00:19
2
j836802
josseph@ :
kwamambo yote kristo amenijulisha nisalama rohoni mwangu 🙏🙏🥰🥰
2026-09-24 00:11:16
2
To see more videos from user @official_kuhani_atson, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About