@magufuli.daima: Maneno ya mwisho ya hayati john pombe magufuli najua nime sacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania. ninajua kunasiku mtanikumbuka mtanikumbuka kwa mazuri na sio kwa mabaya kwasababu nimeyatoa maisha yangu muhanga kwaajili ya watanzania #magufulijembe #magufulikitiktok #magufuli
baba wanawakata point madereva
magar ayatembei uku
I miss you uncle😭💓
2026-09-30 06:41:57
0
Ruben Ruben :
allways miss you jpm forever 😭😭
2026-09-23 20:50:47
4
Jennifer :
kabsa ulinena baba
2026-09-30 11:17:02
0
anithae677gmail.com2 :
Tunakukumbuka mara ngap kila siku tunalia tu kwa nin Magu kutuacha peke etu Na Mungu wewe ni mkali hukumuona hata mzee wa msoga [Crying][Crying][Crying][Facepalm][Facepalm][Facepalm][Facepalm]
2026-09-30 11:06:35
0
user2156790038165 :
kweli kizulu alidumu nakupenda san
2026-09-24 15:25:21
1
Big lakas,,@@ :
Daaah kwer mzeee tunakukumbuka san [Pray][Pray][Pray]
2026-09-30 08:57:48
0
💞Rayhat🔥♥️♥️ :
tumekukumbuka baba na bado tunakukumbuka daima
2026-09-25 14:19:50
2
dinho duller :
mungu amrehem
2026-09-30 11:05:40
0
dereva wa mkoa🏍️ :
siku moja mzee yan miaka yote 5 tuta kukumbuka
2026-09-30 08:02:44
0
bibi imrani :
tunakukumbuka kweli bb yetu
2026-09-30 07:05:48
0
Yahaya Juma :
tunakukumbuka kiongozi wa wanyonge tupo tunanyanyaswa huku so pw
2026-09-24 20:15:51
2
Amos mwita :
magufuli wetu
2026-09-30 08:40:03
0
irene josephy :
tumeshakukumbuk xan tu
2026-09-30 07:21:58
0
Muddiy Toto :
hilinineno badolinaishi
2026-09-23 21:38:06
2
mguyu :
tumeisha kukumbuka baba sana njooujiinee baba
2026-09-24 07:09:45
1
Amor🥰 :
na sisi tume kukumbuka
2026-09-23 19:31:24
1
Eliza Tz :
nikweli baba tumesha Anza kuku kumbuka maan tunayo pitia ni magum San 😭😭😭
2026-09-24 10:39:33
1
sauraty mchome :
sawa naamini baba wewe ulikua wa maonooko Leo hii naamini 😭😭😭😭
2026-09-29 21:51:36
0
user1927902271903 :
tunakukumbuk sana
2026-09-29 18:41:28
0
Emmy🦋🥰 :
Tushakumbuka sana baba[Teary eyed]
2026-09-30 11:18:19
1
hasshimalli3 :
ni ukweli mwishi miwa raisi jpm
r.i.p
2026-09-30 03:46:47
0
Rama khan :
ndio sasaivi tuna kukumbuka
2026-09-29 21:06:46
0
GREENP99💚 :
Rlp🙏🙏🙏
2026-09-29 19:09:11
0
eliamdalingwa557 :
kweli baba
2026-09-23 20:37:57
0
To see more videos from user @magufuli.daima, please go to the Tikwm
homepage.