@alnufais07: 🥀

ahmed07
ahmed07
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 18:43:36 GMT
8082
451
24
25

Music

Download

Comments

abdillah.nassor3
Abdillah Nassor :
ONE LOVE ZANZIBAR, AMANI ISITOWEKE.
2026-09-24 10:17:35
2
taliban1303
taliban :
mwenyez mungu akuweke sana omo ww ndie kiongozi bora katika maisha yetu
2026-09-24 10:36:09
2
bad.boy_2102
F B I ☠️ 26 :
Sahihi kabsa
2026-09-24 06:40:56
2
rajab.matege
Rajab Matege :
huyu jamaa Ana akili ndefu sana
2026-09-24 05:17:14
5
salehmmanga7
salehmmanga7 :
hapa inaelekea siku tukichukua serekali znz na ccm ikabaki bara bc hilo tulitegemee tuyawahi haya kaba kwa umojawetu
2026-09-24 03:56:05
2
khamis.ulamaa
ULAMAA.. :
huu mziko unamiza maskip sio mziki sahihi
2026-09-24 08:39:22
2
user2819503638867
user2819503638867 :
hujamaa Ana akili sana
2026-09-24 11:54:20
0
ginadu68
GiandudizanzibarOg :
Huyu Omo nae mi nashindwa kumuelewa anataka nini
2026-09-24 16:27:35
0
zahranmauly
Tevez :
Ondoa mziki unatuchanganya
2026-09-24 07:45:20
2
hussein.haji609
Hussein Haji :
amenikera alieweka sound
2026-09-24 14:07:29
1
iscoskills1
derector isco :
jamaa anaona mbali sana huyu ndio kiongoz dah mungu tuekee Huyu atutoe kwenye hili janga kuna mafanikio makubwa sana ila watu hawajui tu
2026-09-24 10:22:04
2
jumambwana483
Juma Mbwana9819 :
dah huyu jamaa anaona mbali sana naije tu katiba Mpya Sasa hapo ccm wa znz wanasemaje kwani
2026-09-24 13:32:23
1
user16566213703720
bin kombo 2255191 :
dahhh nitafari kubwa inahitajika mungu atusalim salama
2026-09-24 11:45:57
1
nawwar.sultwaan
nawwar sultwaan :
mtihani mkubwa sana huu lkn tutafika tuu
2026-09-23 19:58:57
1
fodik81
ZNZ 1st :
Muheshimiwa halafu wanatwambia sie wazazibari sie waislamu lakini kila kwenye pesa yetu utaambiwa hapo protocol eti watu wameungana kuungana tumezaliwa nayo leo ndege huwezi kusajili vyombo vingine vyote tunasajili. Kwa kiswahili msamiati maanake wametupa RAIS HALAFU WANATUFEDHESHA UNATUPA KIONGOZI HALAFU TUKAPIGE MAGOTI INATUUMA SANA HIII
2026-09-24 06:10:46
0
yussuf.sheha6
oya weeee :
safiiiiiiii sn
2026-09-23 20:15:08
0
user3007427113305
machano :
huyujamaa haijawahi kuongea pumba tokaazaliwe Mashaallah
2026-09-24 12:07:50
2
To see more videos from user @alnufais07, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About