@salmasaid_znzyetu: SHIDA FADHILI MKAAZI WA BUMBWINI

Salma Said
Salma Said
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 18:51:55 GMT
23861
643
65
105

Music

Download

Comments

ummusalama57
Salama Juma :
Kumbe Majina kua hayamo sio kwenye Kupiga kura tu😂😂
2026-09-24 12:03:08
11
yussuf11612903552244
Yusuf khamix Abuzar❤💞💚 :
Hay wabumbwin tujuane 🤣🤣
2026-09-23 20:43:22
7
fundi.bomba.rajab
Fundi bomba Rajab RJ MJESH :
fanyeniii kweli wazeee wa bubwini mnatuangushaaa😁😁😁😳
2026-09-24 21:08:37
6
user9815285429206
user9815285429206 :
baba angu yuleee 😁
2026-09-24 15:58:59
0
rampa161
Rampa 🇵🇸 :
Serikali inaingia kwa udhalimu, tutegemee utendaji wake uwe sawa kweli
2026-09-23 19:10:51
8
hafidh.said1
free Palestine :
free zanzibar everyday
2026-09-24 08:47:01
5
aballflavourchuptachupta
aballflavour :
Naamini Mh. Rais hana tatzo kwny hilo
2026-09-25 05:47:07
1
mrnadal16
mr nadal ibrahim :
SMZ ni madhalimu wanadhulumu raia tu
2026-09-24 19:42:02
2
asry.mohd
Ankooo Moh'd :
kwa masheha wao wanasemaje
2026-09-25 10:04:37
0
makamemk969
MK :
sio mitan ten n kumi tn
2026-09-24 05:35:48
1
chalafadhil735
mrs suleiman :
duu yaai kma wana uwezo wakutuhamisha sote wako taya yaani kila sehemu wanaitaka wao inatuuma sana wananchi
2026-09-23 19:50:49
4
nawwar.sultwaan
nawwar sultwaan :
uko bumbwini ndo hakusemeki ardhi yote washapewa wawekezaji Wala watu hawajalipwa jmn jmn jmn Kuna mauti musijisahau viongozi
2026-09-23 19:47:07
4
kibeki_ali_patrik
Kibeki Ali Patrik :
Katiba mpya inatakiwa ardhi irudi iwe Mali ya mwananchi
2026-09-24 07:25:11
2
chalu_dallas
Chalu_Dallas_🏝️ :
jamani dhuluma dhulumaa....[Teary eyed]
2026-09-24 05:28:06
2
user4544221701480
user4544221701480 :
Ukisema unaambiw ardhi mali ya serikali, Bumbwin kulikuw kumetulia ila saiv washakuharibu kote, Allah ndy hakimu wa mahakimu wote Allah atalipa hapa duniani akhera ni hesabu tu
2026-09-24 06:02:43
2
feso247
feso :
2026-09-23 19:25:58
2
user47614121208206
user47614121208206 :
majani na mahonda mwanakombo hatujalipwa wengine washavuruga na barabara ishajengwa
2026-09-24 15:02:54
1
user2074315251120
@mabelo47 :
mwenda tia kura mbili mbili tna saiv munamlalamikia nani
2026-09-24 15:35:18
1
user1448019784843
user1448019784843 :
malip.niapa.apa.dunian.
2026-09-24 05:48:40
1
juntos.tour
Island soul & safari :
Hii serekali ya asai si yawange hii serekali ya wawekezaji tuu wanyone tusobiri kabuki tu kwa presha bc wawekezaji ndo wanotia kura
2026-09-24 15:34:27
1
iz.khakcode21
Code 21 :
Apa nyumbani kabisaaaa ndo ninapozikwa asa uwandani bi shida asante kwa ujumbe wako mi shanba langu nimemuakilisha mdogo wangu apo namuona yupo
2026-09-23 19:58:42
2
user17173341
mtoto wa baba :
mitano tena
2026-09-23 19:05:40
1
faheem.eric55
Faheem Eric55 :
duu!wanataka kufanya utapeli tuu hawanajengine
2026-09-23 19:19:38
1
user1717020549170
user1717020549170 :
BUMBWINI YAZAMANI SIOLEO SASAIV BUMBWIN WAMEBAK WAHUNITU ZAMAN BUMBWIN ZAMAN ILIKUATISHIO
2026-09-26 08:17:25
0
user3925218610536
mapesa :
mitano tena
2026-09-24 03:37:49
0
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About