Natural beauty🥰🥰 I am in love with this island 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-24 12:59:16
1
Emmy Nadoh :
Njia ya Mkoan yakwendea jiji cha kiwani
2026-09-24 09:52:26
1
waizy :
mashallah kizur duh
2026-09-23 20:27:58
2
Shay Bussiness Girl :
huku ukijenga nyumba nzuri wanakuuwa😅
2026-09-24 05:51:48
36
Sahsal :
Mashallah nimepamiss pba 🥰🥰
2026-09-24 09:30:01
1
team Tz :
pemba hakuna nyumba za kuhifazia zinaa 😍😍😍
2026-09-24 04:22:03
58
DR SILO PHONE ACCESSORIES :
changamoto hamn lodge pemba tunatak kuja kutembea ila hatuna pakufikia
2026-09-23 20:26:08
39
Lela's Golden Oven :
how i love TZ
2026-09-24 05:18:28
0
..✨️kïfårängå✨️.. :
Green land
2026-09-24 13:25:17
1
Kudrat Mchowera🦋 :
Kutoka dar nauli Sh ngp
2026-09-24 03:47:11
12
Mo maestro :
hapo ni kidutani unaelekea mwakunguu au nanguji
2026-09-23 20:33:32
13
Stylist4 :
Kuzuri maashallah🥰
2026-09-24 16:32:09
1
twaha issah :
Maaashaallah mji mzuri fahari yetu.
2026-09-24 12:34:46
1
FEISAL ☠️ :
mung ibarik pemba
2026-09-24 10:14:14
2
Salum Takao :
na nyumb zetu za udongo habari hatuna wenyewetu🥰🥰
2026-09-24 02:56:31
12
Malik Malipula :
Daah yani bado ile asili kabisa ,hewa saaaafi
2026-09-23 20:03:54
8
beauty yushal :
pazuri mashaallah inshallah tuta fika ck moja tuombe uzima tuuh 🥰🥰🥰
2026-09-24 08:42:43
6
Rashed Mazrui :
kidutani😁😁😁
2026-09-24 11:54:21
1
official ruky🥰 :
kidutani nimeona nyumba ya bibi angu😭😭 sehem ambayo mmewangu aliniomba pict ya kumbukumbu na bibi sa10 jioni sa11 jion akafariki nmemmiss sana mme wangu Allah akusameh makosa yako amiiin
2026-09-24 04:47:05
23
Henam :
niwape elimu kidg kupitia Io barabara ukiona mstari wa kati imenyooka bila kukatwa njian ni hairuhusiwi kuovetake ata km hakuna gari ila ukiona mstari imekaa vipande vipande km huu inaruhusiwa ku ovetake
2026-09-24 07:01:29
11
Kila wa pu 🏍 :
oy wapi iyooo
2026-09-23 21:04:17
0
Salesh_z_kh :
wapi iyo
2026-09-24 16:33:27
0
chalii :
Jia ya dagoni
2026-09-24 18:33:49
0
Nkomanije Mpogoza :
hapo huwez kupata hera
2026-09-24 10:07:53
0
miraji zr :
we unalo ilo get kwako au
2026-09-24 12:49:36
1
To see more videos from user @fahad_rawahy, please go to the Tikwm
homepage.