@ali_wisdom: Na kama watakuuliza, “Ulipata wapi moyo wa ujasiri kiasi hiki?” Waambie: “Mimi ndiye moyo uliowahurumia kila mtu, ukawapenda wengi na kuwapa nafasi… lakini ulipoumia, haukuhurumiwa na yeyote. Hapo ndipo nilipojifunza kuwa jasiri.” #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou