jamani sio kwamba wanaimba matusi ila waposehemu malumu ya kijadi yaani wapo kwanye matambiko sisi wasukuma og tunaerewa kinachoenderea kuna wakango na wachwezi hizindo nyimbo zao zashuguli maalum za matambiko wapo sahihi tena wamenikumbusha sana yamhimu sana haya mambo
2026-09-24 21:33:24
19
Ester :
mmmmmmmh hatar jamn
2026-09-24 20:20:26
0
winifridamayala :
mwenyekiti wa kijiji anasemaje au nduhu shida. 😳
2026-09-24 18:15:48
10
Shaban Mahobe :
nisiwe muongo sija like 😏😏😏
2026-09-25 06:25:17
1
Mhonorla jr :
Au nimeanza kusahua kisukuma kama celewi hv nitafasilien jmn🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-24 19:54:19
5
Adam Michael Adam :
Duuur siamini kiukweli pia na mama yuko siriasi kweli anaimba
2026-09-24 18:43:25
5
Lucy Joseph :
mmmmmm 😂😂😂😂😂
2026-09-24 17:51:04
0
Josd_Platvox :
mdada anayejua hii ni lugha gani anitafsirie nitamlipa anipe number dm
2026-09-24 22:36:46
1
anna :
kuanzia Mda huu Mimi siyo msukuma 🙌
2026-09-24 18:54:16
1
kulwa dear :
mh!!jmn ndo nn hyo wasukuma wenzangu
2026-09-25 10:29:56
0
SUPER TALL :
bhachweji😅😅😅
2026-09-25 07:33:25
1
☆chinga :
tupishen kama hamjui
2026-09-25 07:31:18
1
𝗟𝗨𝗖𝗛𝗔_12 :
nlikuw napita tu🤣
2026-09-25 02:57:41
1
king mc kaju :
kwa hari hii hata yesu asiludi tu
2026-09-24 23:36:25
1
mayco masuke :
mtauwa
2026-09-25 03:05:07
1
sKurwa Sebastian @gmaeli com :
ila
2026-09-24 23:23:01
1
Baba Nabii Eliya :
AI inatuharibia wazee wetu
2026-09-25 03:12:36
0
duly :
wasukumaa hatupo ivi
2026-09-24 18:11:13
4
neema :
tangia maandamano yatokee watu hawako vizuri
2026-09-25 04:28:03
3
SEW TREND👗 :
hii kabla gan tena🤣🤣mm cy Msukuma Tena🙌😭😭
2026-09-24 21:00:28
0
☆chinga :
bhukango safi sana asili hii kama hujui tupishe
2026-09-25 07:30:40
1
To see more videos from user @ngoshampole, please go to the Tikwm
homepage.