mwenye mtoto halizik hajui kama me cjapata hata1000
2026-09-24 05:49:06
219
M0lly. 026 :
Harmonize kwa mitulinga afu No iyo🙏
2026-09-25 05:48:43
1
Samweli Kandonga :
kaka nashida na 500000 naumwaa
2026-09-24 17:59:23
17
Iyyah🌸🎀 :
Mbona anaelezea shida zake zote😂😂
2026-09-24 11:55:24
48
Anderson :
roho nzuriiii sana wachache ndooo wakooo hivoo salute harmonizeee
2026-09-24 12:39:39
2
MKABULU WA KEKO🌍🌎 :
kaka unaroh ya urum
2026-09-23 22:50:12
15
DON☠️SHADOW :
Mashaalah I appreciate that. Bro harmonize 😇🥰
2026-09-24 15:00:49
0
Ahmed :
🤣🤣🤣🤣🤣 inabidi nichekeee
2026-09-24 20:52:55
1
ESPOIR KONDE isma :
harmonize kamzidi diamond
2026-09-25 00:48:46
1
cashier mercy 😍 :
Nakuna mwingine anajita Diamond platnumz awezi sadia watu wa kwao big up harmonize 😊
2026-09-24 12:18:59
20
cutie sally 💝💋 :
uyu apa bab ake yupo ila kanikimbia 😅 yani nacheka kam mazur eeh mungu
2026-09-24 08:54:48
13
Qtial…dior :
One love Tembo love you forever
2026-09-24 17:55:21
3
shadya💘💘💘💝💝 :
harmonizer mtu saf sana daah
2026-09-24 04:31:01
42
aman😎 :
kwenye maisha ukiskiza shida zakilam2 utafilisika, pesa haijawai kutosha mazee, ukiona m2 anakupa ujue anamoyo safi sana yan,, big up sana roja,, general rajabu, mkuu wa jeshi la konde gang
2026-09-23 22:35:49
38
helokhamus :
jamani plz kumbe unamoyo muzuri
2026-09-23 20:04:16
6
user90743732383336 :
huyu kaka mi namkubali san 🥰 Mashallah
2026-09-24 14:55:30
5
James Magambo937 :
mungu akuongezee kabsa kaka mtoa ridhiki ataongezewa
2026-09-24 06:06:59
5
Yussuf hashir :
500000
2026-09-24 16:43:26
7
khalidi :
kaka kwaeshima ivyo ndivyo inavyo takiwa mungu azidi kukufanyia wepes
2026-09-24 04:08:30
5
❣️ :
kk nina wimb naombasapot
2026-09-23 20:22:23
17
Tatiana og :
Mungu akujarie kaka kombe🙏🙏🙏🙏nasikia laha sana nikiona ivyo sema ndio sikujariwa nafurahi mungu akujarie ulipotoa akupe zaidi ya apo Amiin🙏🙏🙏
2026-09-23 21:18:00
8
zimbwe :
safi blaza wasaidiye hawoooooooo
2026-09-23 20:44:52
6
TATA BM🦅🇹🇿(Newman) :
HUYO DADA MATATIZO YA DUNIA NZIMA YANAPITIA KWAKE[Tears of joy]
2026-09-25 19:25:38
1
Francine Kambesa :
ubarikiwedada[Cœur rouge][Cœur rouge][Cœur rouge]
2026-09-24 15:02:55
1
To see more videos from user @prince_tz00, please go to the Tikwm
homepage.