@doktachakwela: NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI 1)USIPENDE KUFAGIA USIKU 🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani 2)KUSHIKWA KICHWA 💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa epuka kabisa mtu kushika kichwa chako mtu anaweza kukugeuzia mambo kupitia kichwa chako 3)SEHEMU NYENGINE ❌mtu asikushike sikio ❌Asikushike kitovu ❌Kwenye utosi 🤔Hizi sehemu ukinenewa mabaya boss kama upo mwepesi utapotea 4)NYUMBA YA KUPANGA ❌Kama umepanga nyumba usikubali mwenye nyumba azunguke nyumba ukiwa ndani, utalipa sana kodi utasahau kujenga utakaa hapo hapo maisha yote 5)UKIZAA WATOTO WAKO WANAKUFA ❌ukiona unazaa watoto wanakufa fahamu wewe unanguvu mbaya mwilini mwako inaathiri watoto akikisha ❌Akikisha mtoto wako ulali nae kitanda kimoja hilo tatizo kitakwsha 6)KUAZISHA MJI ❌usipende kuazisha mji umenunua kiwanja hakuna mtu alie jenga wewe ndio wajenga hiyo ni mbaya sana kwako kuna sehemu kuna maagano mabaya sana unaweza filisika kosa kununua hiyo sehemu au ukafa kabisa ✔️Ukiona mji upo tayari jenga na wewe 7)KULALA LODGE ❌ukiwa wafanyiwa tiba ikiwa tabibu wako hana sehemu ya kukulaza lala hata jikoni ❌Kulala lodge kutakufanya tiba yako isiwe nzuri 8)GODORO LILILO TUMIKA ❌ikiwa unaanza maisha unaweza kuanzia godoro lililo tumika ila isiwe desturi yako ❌Kununua gororo lililo tumika nisawa kuingiza kishindwa kwa mtu yani unanunua shida 9)MUESHIMU ANAEKUPIKIA CHAKULA ❌mueshimu anae kupikia chakula ❌Mueshimu anae kupikia chakula #je umewah kukutana namtu mwenye tabia kama izo #niambie kwenye coment 👇
mmmhh apoh kwenyee tiba ya lodge mm alinichukuaa akaenda kunifanyiaa tibaa lodge ety Kuna dawa mnafanyaa lodge [Innocent]
2026-09-24 06:24:19
0
Bibi ya Tajiri0030 :
Na mimi mwenye nikiomba mtu kitu inapotea kabla ata sijamrudishia
2026-09-29 12:07:27
0
daudsome :
Mungu atusaidie
2026-09-25 21:02:19
0
Engineer :
Namb 9 UMEKAZIA KABISA
2026-09-26 05:06:41
0
salome :
mimi nalala na wanangu ninachumba kimoja
2026-09-25 16:04:21
1
user8025884538161 :
merci beaucoup docteur
2026-09-24 19:01:26
0
Rachel Joseph🤍 :
marafiki zangu huwa walipenda kushik kichwa tunagomban
2026-09-26 18:35:27
0
Msela smart :
apa kwenye godolo liliotumika ni kwel kabis
2026-09-24 14:45:33
0
Caroline Eugen :
Sasa hapo kwenye kujenga kwan mtu hawez kua wa kwanza yeye kuanzisha mji😁😁 au mm ndo sio muelewa mana kama n shida kungekea hakuna nyumba kila mtu angeogopa kuanza yeye
2026-09-24 12:22:04
0
Naah🖤 :
namba4 naonaga mwenye nyumba anafanyaivo jmn sasa ntafanyaje aiseee
2026-09-24 09:53:08
1
dax electronics :
kwa hy sina kazi ya kufanya ntakua namuangalia asizunguke nyumba yake? ushauri mwingine wa kitoto
2026-09-24 04:26:00
0
Iddy Mndeme :
🤣🤣🤣
2026-09-24 03:21:01
0
Olemani og :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-24 05:05:55
0
Zuhura Msolomi :
😂😂😂
2026-09-24 12:13:17
0
To see more videos from user @doktachakwela, please go to the Tikwm
homepage.