@liliswizy: #creatorsearchinsight #fyp #spiritualawakening #eastafrica #tiktokviral

liliswizy | Mimi ni sisi |
liliswizy | Mimi ni sisi |
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 20:07:29 GMT
114373
6841
656
749

Music

Download

Comments

nyasore2
Nyasore :
ok, send me the vedio wewe mwenuewe
2026-10-06 06:54:03
0
gnel0787
GIFTI SENYAGWA :
TUNAYO DAMU YA YESU TUNAPENYA KILA MAHALI
2026-09-24 19:45:41
104
blandydreadlocks
blandydreadlocks :
Nashukuru niliisevu
2026-09-24 08:17:11
52
naturalhairgirl14
NaturalHairGirl 💁‍♀️ 🇹🇿 :
This is True Kabisa...toka nimetengeneza system yangu...sikumbuki mara ya mwisho sisi kwenda hospital ni lini mimi na familia yangu
2026-09-24 04:53:05
79
raeightliston
Raeight Liston :
wanafuta adi comment watu waajabu sana
2026-09-24 05:01:11
29
seniprosia
señiprosia :
huu si ndo utabiri wa ufunuo?? anyway niunge na mimi
2026-09-24 07:09:34
25
alipipi39
Incarnated Angel :
Dunia hii inaendeshwa na Matrix. It's kind of Web World
2026-09-25 10:09:12
20
user5942867245981
rôçh😉 :
ni kweli Kuna kitabu nilisoma kinaitwa , the power behind the curtain, kinazungumzia nguvu zinazoendesha mfumo wa Dunia . ila hicho kitabu nacho kilifungwa 😂😂😂😂 hawataki tujue ukweli
2026-09-24 22:00:39
14
genius_niari
Nia_ :
kwenye vyakula ndipo wametupata hivi sasa organic food zinapotea
2026-09-25 03:47:27
11
mwantumu.mwinyikaz
mom qaylah :
shetan n ss wenyew binadam,je kama tutapelekeshwa n roboti atachomwa moto nani kwahiyo haya yote kapanga mingu.???
2026-09-24 04:41:56
19
poshie098
Po-shie💜 :
Tena unapoongelea siri za wakubwa dada kuwa makini... Siku moja tutakukosa.. Uliza wengine walio jaribu kuanzisha vitu vyao na kuonekana wanataka kuvuruga mifumo yao ya kupata pesa na utajiri, uliwahi fatilia waliishia wapi??? Haijalishi una uwezo kias gani wa kuhoji ila kwa usalama wako kuwa makini na unachoongelea na siri unazoongelea... Tutakukumbuka Sana Dada.. Linda uhai wako achana na siri za watu
2026-09-24 14:47:31
12
gabriel.de.junior
g :
hapa ndio Inatakiw Sasa watu turudie nature sasa
2026-09-24 07:38:23
13
efrasiamary56gmai
[email protected] :
huyu ni mtu WA maana sana wapendwa
2026-09-24 04:21:07
9
lilianchristophermajogor
lilianchristopher24 :
mbona biblia ilieleza mambo yote haya kitabu Cha ufunuo kimeeleza Kila kitu kwa uwazi,somen kitabu Cha ufunuo mtayaona
2026-09-25 12:05:50
5
vicaluxy
Doctor wigs :
yani unakuta mtu awezi kukujibu chochote mpk angalia kwa Al
2026-09-25 05:59:27
6
paschalnicholausjo
P~ :
Ili kuepuka haya maisha ya system ina maana watu wasiende shule, wasiajiliwe, wasiende mahospital, mabenk, watu wasitumie cm, kusiwe na mawasiliano ya digital unless otherwise face to face, na nk, unadhan ni rahis??
2026-09-27 13:51:52
5
alekstafari.i
Alekstafari I :
Hasara yao ndio hii maana kwanza wamekutana na age of Aquarius ni full kuawaken.
2026-09-24 05:54:28
6
gracekabuche245
Grace Kabuche :
niunge nijifunze maana sielew chochote mpaka hapo
2026-09-25 13:41:35
5
user1019400715661
yaspi keijage :
Mungu ingilia kati ukaliokoe ili Taifa kwa DAMU yako peke yetu hatuwezi naamini MUNGU unaona baba.
2026-09-24 22:19:46
7
kelvinemanul800
Kelvin emanuel :
hiyo link kwenye bio mbona haipo
2026-09-26 19:02:26
1
evenellon66gmail1
Eve :
Sasa kama ndio hivyo mungu yupo wapi?
2026-10-02 15:53:15
2
shani.ya.mungu
Online Church :
Someni Vitabu cha Wasabato kama " Pambano Kuu ", "Matukio ya siku za mwisho" na "Tokeni Mjini" nunueni some kila kitu kimeelezwa mjue la kufanya
2026-10-04 06:37:14
2
naetwe91
Naetwe :
NINACHOAMINI WANAESHINDANA NAE ANANGUVU KULIKO WA KWAO HAWATAFANIKIWA BILA IDHINI YA MKUU WA DUNIANI NA MBINGUNI
2026-09-26 17:34:53
1
user166124530607
user166124530607 :
niunge please
2026-09-25 10:04:21
1
To see more videos from user @liliswizy, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About