@fikraprustv: 🔥 SHEIKH SHAFII BADO ATOA SOMO KWA ZAYD — ELIMU NZITO HII USIIKOSI!#Trending

FikraPrusTv
FikraPrusTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 20:32:01 GMT
3895
307
23
5

Music

Download

Comments

mohamedjof2
geofrey Mohamed :
we tuelezee peponi kuna dabokiki au
2026-09-24 03:26:43
0
bakarihemed849
YAA DHALQUWATIL MATIN :
Asalam Aleyk?Mbona Ndugu zangu hizo Aya zipo wazi kwenye Qur'an?Mnapinga maelezo yapo wazi ya Shekh Shafi Acheni kulazimisha Allah sw Ndio Mwenye Mamlaka ya Ulimwengu na ndio Alisema hivyo Kama halijatajwa jina la Mwenyez Mungu kwenye kuchinja uislam hauruhusu kula itakuaje Achinje mkristo?Hali yakuwa Hamtaji Allah sw Anapochinja Anamtaja Yesu ambae ni Mtume?Acheni kutoa povu Huyo Zayd bado mchache sana kiupande wa Ilimu
2026-09-24 11:41:58
0
sadiki.dihomba
SADIKI DIHOMBA :
kwa Aya iyo ndo ata babaetu Adamu alichinjaa kwa kutaja jina m.mungu na umati zotee ata wakati wa ISSA walichinjaa kwa kutaja jina la mwenyezi mungu kwa lugha yaoo
2026-09-24 11:35:42
0
msellemhaji
msellem haji :
Facts
2026-09-24 02:53:55
0
sidebuggati
buggat :
Naam
2026-09-24 07:18:47
0
in_yourcontact04
In your Contact :
Leta Aya inayowaamrisha hilo
2026-09-24 14:18:04
0
fundi29_magaritz
Omary Juma bakari :
maneno machache yanao eleweka 💪💪💪💪💪💪
2026-09-24 10:02:22
0
issa.carlos8
Issa Carlos :
Hakika
2026-09-24 05:50:49
0
safinatandiko
Safina Tandiko :
ni kweli shekh angu mim nimekuelewa
2026-09-24 05:19:10
0
user6600292916828
Thady :
Hakika 💯💯💯
2026-09-24 03:58:29
0
mohamedjof2
geofrey Mohamed :
we achana na hayo ya kuchinja kabla ya mtume alikua anchinja Babu yake Musa au
2026-09-24 03:26:13
0
sadiki.dihomba
SADIKI DIHOMBA :
sawa
2026-09-24 14:29:43
0
in_yourcontact04
In your Contact :
Hata waislam wapo wema na wabaya
2026-09-24 14:18:14
0
sadiki.dihomba
SADIKI DIHOMBA :
bila ya kujali aliyechinjaaa
2026-09-24 14:31:37
0
sogora.mwishe
Sogora Mwishe :
shukran sheikh wetu asie kuelewa basi anahitaji msaada wa kitabibu
2026-09-24 06:15:56
0
allyurembo735
Ally Urembo :
ksbiss
2026-09-24 03:09:18
0
kulwamapancha6
Kulwa Mapancha :
Allah ni jina au neno la kiarabu ambalo tafasiri yake ni mungu.... sasa mkristo akichinja huku akitaja jina au maneno nachinja kwa jina la mwenyezi mungu.. je muislamu anaruhusiwa kula hapo au atarazimika kutaja Allah kwa lugha ya kiarabu?
2026-09-24 13:26:38
1
To see more videos from user @fikraprustv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About