@mudathir.tz0: TANZIA. Rest easy msela wetu, mwanetu Ayubu 🕊️🖤🔥. Umetangulia mbele za haki, lakini majina, michongo, na historia tuliyopitia na wewe inabaki palepale kwenye kambi yetu 💯🏃‍♂️💨. Tumeumia kuondokewa na wewe, lakini tunasimama pamoja na code yetu ya 'Hustle na roho safi' mpaka kieleweke ⚡️💪✨. Sisi masela zako hatutakusahau kamwe 🤲🏽👑. Pumzika kwa amani mwanetu 🕊️🥷🏾💔." #creatorsearchinsights @📍 MUDATHIR BRAND STORE 🍀 @American lounge @BAGOKA OG ARTIST 🇹🇿 @@RAM KIDD @beibtee

🟢 RUNZEWE with MUDATHIR  🛍️
🟢 RUNZEWE with MUDATHIR 🛍️
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 20:42:18 GMT
12814
588
20
13

Music

Download

Comments

mturutumbi0
FML MC589 :
rest in peace
2026-09-24 07:16:31
0
mayge012
mayge :
poleni mway mdaxilii
2026-09-24 10:20:58
1
mr.mtanga2
Mr mtanga :
mh! vijana waivi wanamchango mdogo sana kwenye taifa
2026-09-24 07:39:24
1
shasta.karina
shasta karina :
na hongereni mme mstri rafiki yenu poleni vijana
2026-09-24 08:26:48
2
dossa.tz
Dossa tz :
saivi kifo kimekua kawaida sana kifo kama starehe daaaaaaah
2026-09-24 08:13:56
0
de_james96
DE_JAMES 96 :
uzuri mungu haangaliii sura big up sana marasta wote Kwa Dua na muziki apumzike Kwa amani
2026-09-24 09:45:19
1
camonextz0
camonex tz@ :
mungu ailaze roho yake mahari pema Pepo😭😭😭
2026-09-23 21:09:01
2
moely50
Tinah🥰 :
poleni jaman
2026-09-24 09:03:54
0
loy_queen
loy_queen :
niman uyo
2026-09-24 05:31:05
0
user6144610703339
shabani omary💥 :
pamoja sana
2026-09-24 09:20:03
0
user4707157662509
kilo7 :
Amin
2026-09-24 07:22:52
0
madu.tz5
madu tz :
innalillah wainalilahi walajin
2026-09-24 06:30:51
0
noble4809
NOBLE :
mait ilippata hasara juu ya kabur lake
2026-09-24 10:39:56
2
m.i.gsally
M.I.G sally :
yani hawa wanamahkfkgyourjjftelvctrtkrrsrj😅😅
2026-09-24 07:32:33
0
ramajumanne381
Rama Jumanne :
icho ndicho alichokipanda malehemu
2026-09-24 07:59:56
0
yustor4
@Yustor ... :
🥰🥰🥰
2026-09-23 23:00:15
0
To see more videos from user @mudathir.tz0, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About