@itshusseinmkumbo: Tanzania yalaani Ubabe wa Mataifa Makubwa, Tafsiri ya Kiswahili ya Hotuba yote ya Makamu wa Rais UN #BreakingNews #Habari #Tanzania #HusseinMkumbo #bonitech_computer #Airpodspro2

Hussein Mkumbo
Hussein Mkumbo
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 21:57:01 GMT
49794
2163
47
111

Music

Download

Comments

emma.otimbi
Emma otimbi :
uyu ndie kiongozi mwenye uongozi ndani yake confidence safii
2026-09-24 08:04:48
7
mobarokiddy
mick :
muheshimiwa mchimbi bora alivyojitoa Nathan kama angekuwa yeye si dhan kma itafaki ingezitiwa ,!! hongera makamu wa raisi wetu mungu azidi kukupa afya na maono zaidi tuijenge tz yetu ameen!!!
2026-09-24 08:49:35
5
mr..shadow183
مصطفى.🇲🇷🇹🇿 :
2050 Allah anijalie kufika kwanza🙏
2026-09-24 05:11:34
6
fmingo4
SAFFRON :
Ila yote tisa huyu Makamu wa rais Yuko soo confidence
2026-09-25 12:53:00
4
bin.issa.ktchen.d
bin issa ktchen dish :
deni la taifa tumemuachi harmoniz😁
2026-09-24 07:50:16
3
mussazilozilo1
mussazilozilo1 :
mbona rais wa bukinafaso hajahutubia?
2026-09-24 17:07:29
2
abedi.twaha7
Abedi Twaha :
🙏🙏🙏🙏🙏Hongera sana kwa kuwakilisha Taifa
2026-09-24 17:30:43
3
user1133349506146
fahdi :
TANZANIA OYEEE
2026-09-24 15:57:36
3
jumannesaleh22
Jumanne Saleh :
@mimi,nakuelewasana,makamu,walaisi,tanzania,lazimatuinpende
2026-09-24 19:56:28
3
costamiange
[email protected] :
hongera makam wa Rais kuwakilisha taifa typo nyuma yako
2026-09-24 18:30:03
3
user7907661513984
Mr job :
huyu ndiye tuliyemtarajia......🙏
2026-09-26 00:06:52
3
joachimfamily3
Joachim 🇹🇿💕 :
Vyema mtumishi wa nchi
2026-09-25 12:50:15
2
user46738781633305
william :
1.ameomba mikopoo nafuu kimataifa kuwezesha maendeleo ya inchi 2.kuwawezesha wawekezajii katika inch Tanzania tunjiweza bwana Tena kwa pesa zetuu hatutaki mikopooo
2026-09-24 15:44:45
2
user378292079634
manu :
hongera unafaa uwe rais wetu
2026-09-26 09:59:06
0
dokta.rubuye
Dokta Rubuye :
Vijana Tunaweza
2026-09-24 04:24:41
3
g19massebu
Man'Kush :
Kati ya kitu tunachokosea ni lugha, kimataifa kabisa hapa Makamu alipaswa kuongea Kiswahili,waweke vifaa vya kutafisili masikioni mwao, mbona Colombia na wengine wameongea lugha zao, hapa ilikua ni sehemu ya kukuza na kuheshimu lugha yetu mbele ya Dunia
2026-09-26 04:31:17
0
nasma.hasan3
🇹🇿✌️🇸🇦💪🇵🇸✌️🇶🇦 :
mungu bariki Tanzania yetu
2026-09-24 05:46:30
3
sangijo4
sangijo4 :
wewe akika upo sawe kaka💪💪🇹🇿🇹🇿
2026-09-24 08:13:43
3
husnakabwanga
jaomi :
Kiongozi Bora nimfano wa kuigwa ktk Taifa Mungu Bariki Nchi yetu Mungu Ibariki TANZANIA(TANGANYIKA)
2026-09-25 12:20:44
2
hamisiomary348
hamisiomary348 :
mikopo ya nn jmn
2026-09-25 18:31:08
1
emmanueljohnson851
17 july :
Nakukubari sana kaka
2026-09-23 22:16:29
3
jovina.jovina7
jovina jovina :
tunakuombea kwaweza kujiereza virimuheshimiwa makamo
2026-10-21 19:55:23
0
user3687250802835
DIEUDONNÉ MUTEKUKWA :
jambo
2026-09-26 00:09:16
0
datiusgenardius
Datius Genardius :
naomba na ya rutto raisi wa kenya
2026-09-26 04:17:05
0
mnnume.tz
mnnume tz :
safi sana
2026-09-24 08:20:53
0
To see more videos from user @itshusseinmkumbo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About