@knews24.media: #knews24updates #SautiyajamiiChanzochaUkweli

knews24 media
knews24 media
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 22:05:01 GMT
23719
355
80
144

Music

Download

Comments

odethame1
odetha-wear :
SAIV HAYA TOKI KABISAA
2026-09-24 11:45:50
5
dorisluvanda
[email protected] :
Maji yanavuja sana mitaani yanavuja mno wanapita wanayaona hawana muda wakushughurikia hawana kiukweli chin ya kiwango
2026-09-24 10:07:25
9
xviii.ii.xcii
Hov. :
Mmenyimwa hela wakuu! Birthday gani tena, 80% ya muda wa mtumishi ni ofisni, sasa akafanyie wapi
2026-09-24 12:42:43
6
happyandy103
Happyandy :
Ila maji yanasumbua sana jamani🙌🏾mnavizia maji!
2026-09-25 08:02:03
1
user3755051999154
upendo :
kwan ni shida?? kama huduma zinaendelea vzr sioni kama kuna shda
2026-09-24 08:25:44
9
nyariuhyoma3
nyariuhyoma :
maji hakuna afu ukiuliza wanajibu majibu mepesi 😏😏😏
2026-09-24 16:01:38
0
royaltasteproducts
Royal taste products :
miradi ipi watu hatuna maji karibia mwaka sasa
2026-09-25 12:43:27
1
mathematics_for_life
MATHEMATICS TUTOR :
kwa week mara moja 😂
2026-09-24 14:07:45
0
sekaga17
Elizabeth :
Huku Ituha ndio hawaji kusoma mita wanakadiria tu bii, maji yanatoka kwa wiki siku 2/3 mtu nyumba anakaa peke yake matumizi ya maji sio makubwa bill wanakuletea elfu 50 Hadi 40 ndio nini, Wachunguzwe hao watu tumechokaaaa
2026-09-24 16:21:33
0
shamy.juma
Shamy Juma :
sherehe za nin maji ayatoki miezi
2026-09-24 12:50:06
2
safia_keki_mbeya
safia_myra_keki❤️ :
mmh hapana mi nawatetea🥰 jmn hamna siku mmepga cm sijafanyiwa kaz
2026-09-24 17:48:54
1
cecie10
user5437311539966 :
Maji hakuna Ituha mwezi wa 3
2026-09-24 19:05:22
0
dreamsoftsolutions
Dreamsoft Technologies | Apps :
Sio tu chini ya kiwango ata mita zao tu ukinunua maji hayatoki ukiwatafuta majibu ya hovyo😂
2026-09-24 16:15:34
0
joycemlaki7
[email protected] :
birthday tena ?????
2026-09-24 04:46:10
2
user1145618179633
BINT KAZZ :
mbalizi tuna shida ya maji tunachota mtoni jamanii subirini kipindupindu
2026-09-24 13:30:59
1
monycah86
monycah :
Huku ituha yanatoka wakiamua wao yn nikipiga sm naambiwa anakuja fundi akija fund anaangalia anaondoka yn kheeeeeeee 😭😭😭😭😭😭😭
2026-09-24 17:55:15
0
dreamsoftsolutions
Dreamsoft Technologies | Apps :
Uyole nina miezi 9 sijawahi ona maji hadi tukachote kwa wenye visima😂
2026-09-24 16:16:46
0
ladyjaguarleah
ladyjaguar leah :
ndio maana maji hayatoki mwez mzm
2026-09-26 13:21:10
1
user3517665130828
user3517665130828 :
tena mbeya ni miaka 20 sasa
2026-09-24 12:11:06
0
mackies81
Mackrina🤎 :
Mbalizi Nina miezi tisa sijaona maji bombani[Tears of joy]
2026-09-25 11:40:29
1
gwakipork1
Gwaki pork mbeya1 :
Mbeya hatuna maji hatuna Balabala Yaani kilakitu 0💔
2026-09-24 16:00:28
1
mzeemkavu602
Mzee Mkavu :
ukipiga simu bomba imepasuka hawaji wanataka posho nyumba ya lafikiangu mbaka ukuta ulianguka
2026-09-24 12:42:31
0
gladiee_08
gladie💙🫧 :
Bill awasomi wanakisia jamani unskita wik mbil huna maji bili inakuja kubwaaaaa yupo dada mmoja huyo yupp iyela huku utafikr idara ya maji ni ya ukoo
2026-09-24 14:07:06
0
ambokilebukuku60
hell No🫟 :
Na wanakatakata maji hovyo
2026-09-24 12:08:38
0
To see more videos from user @knews24.media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About