@makanditz: Joel Lwaga & Diamond Platnumz Nikumbuke video reaction

Makandi Tz
Makandi Tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 23 September 2026 23:00:27 GMT
145642
10229
331
95

Music

Download

Comments

mtotowapili5
mtoto wa pili investment :
kuna mapatano gan kat ya nuru na giza?
2026-09-24 12:04:21
52
user9023106146914
user9023106146914 :
Imba Diamond
2026-09-25 09:17:40
0
bite0191
Bite :
nimepanda daimond ameimba kihisia kabsa
2026-09-24 12:08:36
26
skudu.makudubela4
skudu makudubela :
Joel lwaga kaimba vzr san but dangote kanifanyia suprise kweny melody ya dini sijawah kutegemea hii ila simba la masimba 🙌🙌🙌 talent sana
2026-09-24 05:44:04
122
daviddeusi15
daviddeusi15 :
Joel noma can
2026-09-24 06:48:31
1
kajushekigenda
Kaju Shekigenda :
mond fire 🔥
2026-09-24 20:08:31
1
fratizog
✨️Fratiz👑Og💫💥⭐️🌟⚡️ :
tunao mkubar Simba gonga like
2026-09-24 01:15:30
42
reallybaton0
REALLY BATON :
Joel lwaga nomasana wewe
2026-09-24 07:50:48
0
naomy.daudy
Naomy Daudy♥️ :
Joel lwaga
2026-09-24 08:29:13
2
the.crazy.boy61
the crazy boy :
melody ndo msema kwl mondi kalalamika sana sikia the way lwaga alivyo imba atumii nguvu slow yan joel lwaga ni next level
2026-09-24 02:24:30
19
neema.samsonney
Neema Samsonney :
joel alishapotea mda mrefu kwenye gospel music so kumshirikisha diamond sishangai
2026-09-24 14:54:59
7
happiness.18261
happiness mlungu :
siku za mwisho zimefika tumkumbuke mungu jaman
2026-09-24 07:57:27
13
fabianmaincha1
Fabian maincha :
tumeisha 😂😂😂
2026-09-24 06:56:36
0
marrykingi
marrykingi :
sisi wote ni watoto wa mungu na wote wanamtukuza mungu hongereni sana
2026-09-24 05:59:43
17
user5374465266929
Almas :
BROOO NAMKUBALI MONDI LAKINI JOEL HAPO KAUA ANAIBISHA SIJUI NIMWAMƁIE NN
2026-09-24 11:52:41
9
amisi.tiba
Amisi tiba :
𝔻𝕚𝕒𝕞𝕠𝕟𝕕
2026-09-24 07:50:24
1
mnuni93
MIKHAEL✝️🇹🇿 :
“Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu. Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha. Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike, asema Bwana Mwenyezi.” 2 Kor 6 : 14 - 18 SUV
2026-09-24 18:55:40
6
reux47
MR.🍎Zion🍓🍇🫐 :
twende mbele turudi nyuma ngoma kali 😁😁
2026-09-24 17:55:21
6
pangafursacentre1
Panga Fursa Centre :
Simba la Masimba Nouma Sanaa 🔥
2026-09-24 02:28:38
7
magic.hands11
Magic hands :
kwenye saut ya mond kuna kitu hakipo sawa asa ishu ya mixing
2026-09-24 01:56:39
6
user1815026190002
zawadi🇺🇲🇨🇩 :
walio sema Joel lwaga kauwa gonga like apa[Heartwarming]
2026-09-24 16:12:32
7
kenny_music18
Kenny_music🇳🇬🇨🇩 :
Joe lwaga
2026-09-23 23:58:33
8
user7503722156117
lovie Lv 🌹🌹 :
ao ni wafanya biashara na sio wafanya injili
2026-09-25 07:05:48
2
prosperkatwazo601
prosper katwazo :
hatuimbi gospel kwa kushindana bali kutangaza neema ya mungu kwa wengine hata sisi kuinua Imani na kuokolewa Roho zetu,pia tunaishindania imani tu
2026-09-24 16:21:11
3
dripperboy6
Dripper :
Joel kapata kolabo na mondi lakini marioo aujapata 😅😅
2026-09-24 09:43:56
2
To see more videos from user @makanditz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About