@nabyoshi1: “Hasira inaweza kukufanya ukae kimya, lakini usiruhusu ukimya ukukoseshe hekima. Ndoa haijengwi kwa kutafuta mtu wa tatu—inajengwa kwa mazungumzo, msamaha na heshima. ❤️🏠 #Ndoa #NdoaYetu #UshauriWaNdoa #Mahubiri #Mafundisho
Mariamu Naby Abiya
Region: US
Thursday 24 September 2026 03:37:41 GMT
Music
Download
Comments
recho :
Wambie
2026-09-24 09:50:04
0
ashura mohd :
hongera
2026-09-24 08:03:02
0
Mrs frank :
mmmm week hata mwezi jmn😂😂😂😂nishazoea jmn
2026-09-24 06:14:48
5
queencute400 :
nataka kuipost status lakn aichukuliki
2026-09-24 14:05:24
0
prici683💞 :
mm ata nimezoea twamaliza ata mwezi hatuongea na hasemi kitu
2026-09-24 12:26:11
0
mimah 🥰 😍 :
Ana nuna mm namuwangalia tuu
2026-09-24 09:43:37
0
Paulo mwendapole +256793321709 :
Asante kwa mafundicho Sasa nahuliza ukemwambia akekatala kusikia ufanye je.
2026-09-24 11:54:58
1
Rachel ndela :
kwa nini unakatala kupartage
2026-09-24 11:15:08
0
Asia Mugaya :
me naomba mung amsaidie mme wang aione hiiii comments labda atajilekebisha ubarikiwe dada kwa kuwa shauri haw wat jamaniiiii
2026-09-24 10:20:17
1
user42545502972435 :
kweli. kabisa. dada
2026-09-24 08:29:53
1
catherinemwijumbe :
ndo wangu kila siku anajinunisha adi nakosa laha
2026-09-24 14:52:39
0
oeuf 02 :
Amèn Amen 🇨🇩
2026-09-24 08:26:26
1
Muna :
Ndonilicho pitia mm😭
2026-09-24 15:29:02
0
Nyiro :
🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2026-09-24 13:31:54
0
dee_onpoint :
akifungua video mtu anitag niichukue nimechoka mm sipost namtumi kabisaaa aione😂😂😂
2026-09-24 15:52:24
0
Mom @B* :
naumia sana
2026-09-24 14:04:39
0
Queen Boss :
❤️❤️❤️❤️
2026-09-24 14:08:15
0
Razyalla bonnebana mumburara :
amina
2026-09-24 14:19:30
0
BIRUNGI GRASE :
tunaongeya kweli mamangu mungu aku bariki
2026-09-24 13:38:30
0
Tereza Masoka :
munatufuza maneno matamu lakini uelewawawatu ndovingumu nimungu tu
2026-09-24 12:58:06
0
hajila..😃😍 :
tena hata mwaka hananuna2 eti
2026-09-24 15:27:04
0
HELBERT CHAULA :
safi sana mamaa hivohivoo
2026-09-24 15:48:09
0
user69819786708306 :
nikajua niko pekeangu kume mmmmhhhhhh nishazoea
2026-09-24 13:56:12
0
Glorieuse :
ndiyo dada
2026-09-24 13:15:02
0
annabupeke :
Kweli kabisa
2026-09-24 04:30:14
0
To see more videos from user @nabyoshi1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.