@dr.issa_rashid: Baadhi ya sababu za mtoto kujikojelea kitandani. Walete watoto hospitali tuwatibie

dr.issa_rashid
dr.issa_rashid
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 03:58:09 GMT
15836
204
32
78

Music

Download

Comments

vera7436
Vera cosmetics 🧴 :
mm wangu miaka 2 akojoi kitandani
2026-09-24 11:35:33
2
happykiwelu0
Happy Kiwelu :
no ya simu tafadhali
2026-09-24 10:29:49
1
vivian_collection2
mama wa maombi :
Hosp huwa wanapewa matibabu gani
2026-09-24 05:47:48
2
user28823851376054
Renee :
Mnapokea NHIF nmlete mwanangu
2026-09-24 09:40:51
2
binti_luwumba
Victoria :
ukiwa na bima kuna gharama yeyote ya cash?
2026-09-24 10:36:42
1
zamzamhasani34
official nyanza :
mi nilikojoa mpaka darasa la sita
2026-09-24 11:08:22
1
rukiasuleimanmust
Rukia Suleiman Mustafa :
galama zinakuwaje Dr kama wa miaka sita
2026-09-24 10:08:11
1
mlay51
mlay51 :
Mtoto anatakiwa aache kukojoa akiwa na umri gani???
2026-09-24 11:10:46
1
mariaisdory1
promary furniture :
Mtoto akiwa na miaka 3 kwenda 4 naye anashida? Au waliopitiliza tu miaka 5?
2026-09-24 11:25:48
1
mum.n1
Mum N² :
mmh wangu miaka 7 ila anakojoa had siyo poa, usiku mmoja anakojoa kitandan kama mara mbili na ni kila siku ya Mungu🥺
2026-09-24 06:46:34
1
mary.tairo4
Mary Tairo :
Dr Issa upo vizuri…Mungu azidi kuku imarisha
2026-09-24 06:53:23
1
mrsmeshark
stemba💋❣️ :
wangu toka ana miez kma 9hakojoi n anamiak miwili sasa
2026-09-24 08:14:53
1
hassanatali3
sasha :
Wakwangu ana miaka mitano hakojoi kitandan ila akiwa macho kwenye mizunguko yake anajikolea nachoka
2026-09-24 12:07:58
0
asha.rashid240
Asha Rashid :
wa kwangu ana miaka 10 sasa,matibabu tunanapata wapi au wewe tunakupata wapi
2026-09-24 07:36:24
0
stellah.makende
Stellah Makende :
wifi yangu Ana miaka 20 anakojoa kitandani dr nae anaeweza kupata matibabu?
2026-09-24 08:58:14
0
official.iddah12
💕iddah :
na wale ukiwachapa anakaa week bila kukojoa
2026-09-24 12:58:03
0
To see more videos from user @dr.issa_rashid, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About