watu mnapenda kukuza mambo hapo kimeumiza nn hao watu kila mkoa wapo niwasumbufu na lazima wat wafate utaratibu jambo lolote
2026-10-15 18:22:46
156
tyson amos :
hahahahhahqq [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-17 19:08:59
0
Conesta,@D💝🥰 :
Angempa tu, chakula sio Cha kumnyima mtu
2026-10-17 07:37:18
52
faster fixer dn :
its sadness moment 😢
2026-10-17 12:09:07
0
Tidy tidy :
atuna imani
2026-10-17 08:50:56
0
Haruna Y.Nassoro :
nipe location
2026-10-17 18:58:50
0
as black as coal@ :
sema kawaida kwa tulio na maisha ya chin but we believe one day we will be there daah inumaa so poah😪😪
2026-10-16 13:42:13
1
Jay36 :
life is not fair😥😥😥😥
2026-10-17 17:03:40
0
Cleophace :
shida sehem kama hizi huwa wanaangalia sana na muonekano wa mtu
2026-10-16 13:56:06
33
HAWA DODO🥰🥰💕💕 :
hii Tabia inakera sana kwakwel ujui mtu njaa yake
2026-10-17 16:39:21
6
elfazorgrey :
Hata km kuna utaratibu lkn ilipaswa ampe tu! hakika kuna cha kujifunza hapo nimefurahushwa na utulivu aliouonyesha, nakuomba "MWENYEZI MUNGU" utubariki na sisi wote wenye uhitaji, Amina 🙏 🙏 🙏
2026-10-17 09:19:04
16
adella :
watoto wa kiume wanapitia sana magumu Iisee
2026-09-25 08:45:42
40
othman :
kila mtu ameumia mbona mie sijaona kinacho waumiza?
katika sherehe yoyote kuna utaratibu wa kugawa chakula
sasa yeye amejiamulia mambo akaambiwa tulia huu ni muda kinamama sasa nyie mmeulia nin?
2026-09-25 09:51:14
32
santiago :
waitaji awapewi
2026-10-16 11:47:21
7
user2860911651147 :
kila kitu kina utaratibu na zamu yake itafika tu na atakula,muda mwingine tunahitaji kua na subra tu na sio kupeana lawama!
2026-10-17 12:09:33
7
minaa beauty salon :
Daah kuna watu wanaroho mbyaa san
2026-09-25 08:25:11
30
Pacific 🌊 :
Licha ya kuwa hii video imeniliza lakin nimefarijika na utulivu wa huyu kaka... Yani kukubali kile kilichomtokea pasipo mawaa..Kwa hilo kaka Shikamoo 💯🤔🙌🙏😥😥😰🤔🤝🧘♂️🧎♂️🙏
2026-09-25 08:14:24
21
rahelmimbi :
😢😢😢 me bas tu jaman
2026-09-25 12:19:08
5
M@STER J🪐🦺🦺🦺 :
mbona nimeumia hivi daa!!!😭😭😭
2026-09-25 08:53:37
10
Claudi Zawadi :
hii Dunia ina watu Wana roho mbaya sana daa hii imeniuma sanaaa
2026-09-25 07:22:04
9
Pio _Sebastian :
Ukitaka kujua tabia ya mtu angalia jinsi anavowatendea watu wasio na msaada kwake📌😭
2026-09-25 09:07:22
7
DATIVA BOSCO :
daaaa inauma sana
2026-09-25 05:42:30
5
official_judy :
Ila wanakamati Mungu anawaona😊😊
2026-09-25 09:37:25
5
lizy♥️ :
Eeeh Mungu,bariki uzao wangu,bariki watoto wangu wape kujitambua wasijue na wajielewee eeeh Mungu wayakob Mungu waisac sikia kuomba kwangu na dua zangu zikufikie wewe.
2026-10-15 20:57:30
8
watetesi :
Nilikuwa nagawa chakula sasa hicho kilikuwa hakina nyama. Nikamwambia asubiri yeye hiyo code hakuijua. tafuta full video utaona anakula nyama😂😂
2026-10-17 11:54:29
5
To see more videos from user @utaipendatv, please go to the Tikwm
homepage.