Me kwakweli ningegailisha ndoa kwanza harusi ya visingeli Hapana kwakweli 😂😂😂😂😂
2026-09-24 05:50:24
25
SOA 💜 :
[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-24 07:03:38
1
Zawadi Mshauri :
me nngeondoka asingeamini
2026-09-24 05:51:59
8
Ms_mwagilo :
Wale wa kujiungamanisha hapa vipi
2026-09-24 06:50:56
5
haleem :
mulisema hassani na Nani vile
2026-09-24 05:52:37
7
🦋It’s 🍀slim🦋 :
Uzuri bwana angu anajua siwapendi rfk zake so natarajia kutokuwaona hio siku hakuna watu nawachukia kwenye kama hawa wanaojiita marafiki wa bwana angu wanakuaga na vihelehele kuna mmoja nilimwambia we mbn una mganga bwana angu au anakufila alinipiga kofi la sikio hadi leo sisikiii na hanisemeshi maisha yake kwaio mm siwapendi na wao hawanipendi [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]