@mkigoma_tz: RED YA PILI IMETOKA 😂😂😂#mkigoma_tz #fyb #tiktokindia #tiktoker #tiktoktanzania🇹🇿

mkigoma_tz
mkigoma_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 04:43:22 GMT
45631
4781
260
165

Music

Download

Comments

hussainjuma026
HUZRAJ🎭 :
kilimanjaro hatufagiliii mpira🤣🤣🤣
2026-09-24 08:15:52
3
fadhirikitinusa
Mr kitinusa :
ila mara
2026-09-24 05:51:06
9
centwilliam
centwilliam :
arusha ile red ilifutwa baada ya refa kuangalia kwenye var
2026-09-24 08:43:39
13
aaryanking_tz
Mudran :
Nilijua tu Arusha hatoboi hii game
2026-09-24 07:30:54
12
kamwelamohamedi
PROUD OF SONGEA :
hapo kaka ruvuma aingie toka half time nilikuambia 😂😂😂😂😂
2026-09-24 05:37:51
7
haidarchaurembo8
Haidarchaurembo :
Zanzibar yupo wapii
2026-09-24 05:00:23
4
ishengoma69
ishengoma :
amekuja na idea mpya ucpo kaa makn umuelew
2026-09-24 06:01:14
30
mwitagekondo0
malle :
😂😂😂 ningemshangaa MARA akose game kama hii sema hizo kadi 3 za njano zimeiponza timu
2026-09-24 05:27:34
8
user9524131438500
zackouocratack :
MOROGORO nae Yuko wap??🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
2026-09-24 10:14:02
1
.feisalkhan
feisalkhan☠️ :
umesahau kaka kutaja usajili mpya pale mbel IPhone 18 yupo kweny kikos chao😳😂
2026-09-27 12:28:32
1
user9359022174328
mwampupa boy :
jaman na leo mtaninyima like
2026-09-24 17:17:24
2
ramras277
Ram Ras :
zanzibar alifutwa kwenye mashindano😅😅😅
2026-09-24 18:41:35
3
ms_unknown70
Unknown🌚 :
Kosa la Arusha ni nini😂😂😂
2026-09-26 14:46:58
1
lameckrobert5010
Mongu.JR :
Arusha ametugalimu sana mechi hii tungeshinda maana nilitegenea Arusha acheze kiungo mkabaji daah ila Arusha kadi ya kujitakia kabisa ni baada ya kocha kukataa kosa , yeye anacheza rafu dk za mwanzo tu yaan watu wawiwili wote unawakanyaga daaah Arusha lazima tukuuze kwa mkopoo 😂😂😂😂😂
2026-09-24 06:15:11
6
smartboytz07
@@#smart boy tz :
iringa red🔥🔥🔥
2026-09-24 06:20:11
2
user2634365681442
user2634365681442 :
tuna kufa 4
2026-09-24 10:12:15
1
lucaskwitega
lucaskwitega :
pemba nae kahamia timu pinzani
2026-09-25 04:45:51
1
samtabu
sam🥯 :
kwan simiyu hatujaitwa team ya taifa?
2026-09-24 17:26:57
4
nicelugi2
nicelugi :
Shinyanga je?😂
2026-09-24 04:59:05
2
enzi_hizo
ENZI_hizo :
akili kubwa sana bro big idea
2026-09-24 10:13:40
2
ryakim27
"Cool"Boy 👊 :
Arusha kafanyaje tena
2026-09-24 07:34:54
1
mr.simba.furnitur
Mr simba Furniture :
natamani kukuelewa kakaa
2026-09-24 08:23:57
1
mr.simba.furnitur
Mr simba Furniture :
natamani Iringa tukiingia tupambanie timu
2026-09-24 08:24:45
1
abdull.ci
ibnu sulayman :
tanga wamechoka walicheza mech gan kwan🤣🤣🤣
2026-09-24 17:51:27
1
user8204033052140
zawadi paulo :
jaman mi siewelew naomba mtu mmoja anieleweshe kwa heshima
2026-09-24 17:05:28
2
To see more videos from user @mkigoma_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About