heri ww kwetu mzae alinunuwa microphone 🎤 toka iyo siku kila asubui swala ya alfajir ndo anatumua kutuamsha 💔😂😂yuwaitwa kila mtu n jina lake 🙌😂.na pia anaitumia kutuswalisha saa zngn 😂🙌
2026-09-24 15:18:42
461
Gmwas :
mm nlibuy guitar.....kila siku lazima nkuwe samidoh🤣🤣
2026-09-25 17:15:40
157
Deka Ahmed :
mimi nilinunua vuvuzela, I regret it.
2026-09-27 19:41:30
1
Veltrana :
how much is this nonsense please 🙏
2026-09-25 17:07:45
19
KIKA FARM :
my hubby got our boys vuvuzela I saw shege even in your dreams vuuuuu vuuuuu vuuuu
2026-09-25 06:25:54
28
Elvo🇰🇪 :
juzi nimenunua firimbi ilibidi niamke kuitupa usiku kama amelala😅😅
2026-09-27 13:36:51
17
MaryMorgan :
comments 😅😅😅😅🔥
2026-09-28 20:53:07
2
iCE🥶🥶🥶 :
iko hadi na ngoma
2026-09-24 16:56:08
32
janet renald :
umebuy wapi natak kuji gift😂😂😂
2026-09-25 20:44:06
9
🤍aysher🤍🫶 :
seeing this after buying my girl mtu akiridiwa kwa horse hatukulala ilipozima battery alingoa uyo mtu kwa farasi 😂😂igot peace of mind
2026-09-24 11:43:55
31
Honey Bunny🐰🐰🥰 :
Wenye mlinunua zile bunduki za kuweka maji mniambie nyumba zenu zinakaaje😂😂😂
2026-09-24 22:52:51
63
ninah :
Nilimnunulia toy la simu kila muda anataka nimpgie tuongee🥺
2026-09-25 19:20:15
25
FARHANA :
Ata usingizi waeza kuota hio nyimbo ..ninkama inaingia kwa system ya mwili pia direct
2026-09-24 16:03:01
34
Shyrowmwas1 :
I regret buying this too iliisha battery nikafurahi nikamshw iliharibika 😅
2026-09-25 04:23:05
8
taitadiva💓🥰😘 :
😂😂😂😂afadhali wewe ni hii huyu wangu ako na magari ya remote kama 3 ako na helicopter ya remote ako na bunduki unatoa sauti ya risasi alafu anawasha zote uwiiii mimi huwa natoka kama napiga nduru nikaficha charger zote sai tunakaa na amani watoto bwana😂
2026-09-24 19:12:55
10
To see more videos from user @jumwa7, please go to the Tikwm
homepage.