hio kenya labda upike kama umejifungia juu jirani akijua unapika ice cream za mihogo mosiria ataitwa [Tears of joy]
2026-09-30 17:42:30
4
Daisy :
Nairobi nitapata wapi hizo vitu
2026-09-25 22:10:29
1
Donates wabwire :
kumbe zinatengenezwa hivi kazi mzuri mama lakini mimi si fan wa ice cream
2026-09-30 15:08:49
1
angelinepeter771 :
Mimi nimetengeza barafu kwa miaka 20na,maji moto,sukari ya kawaida, flavor,rangi na chumvi ya barafu(citric) Niko SAWA ama? sijapenda ladha ya hiyo sukari tamu.
2026-09-29 08:52:19
0
TALENTS FOR CHRIST KIDS BUSIA :
wakenya kujeni😂😂hii tutauza mpaka Kwa mvua.....unachemsha ama una freeze kulingana Na weather 😂
2026-10-03 20:39:22
1
Clebajo :
Samaana dada, waga unatumia sukali?
2026-09-25 03:05:25
1
Marita Barassa :
unapatikana wapi
2026-09-26 19:12:05
1
Ombi M A :
Naomba kuuliza jamni kwa hiyo hutumi ubuyu kabsaa
2026-09-27 14:44:14
0
mumbe james :
Hii sio uji baridi
2026-09-29 11:14:52
1
wanamngatwa :
sukari vipi
2026-09-24 13:56:37
0
🅜🅐🅤🅡🅡🅨 :
Hapo kwa kufunga tu ndio nimeduwaa
2026-09-28 10:26:34
4
ClareSirengo14.24(10)🇰🇪🇰🇪 :
Kuna sukari tamu na Kali?
2026-09-29 20:05:21
1
user45200665767411 :
habari,, zinaweza kaa siku ngapi ?? au kuna dawa unaweka ili isiharibike mapema
2026-09-25 17:21:14
3
To see more videos from user @sharifa.abdul05, please go to the Tikwm
homepage.