labda kwa sie tuishio panic na visiwani tukitupe baharini je inafaa...?!
2026-09-26 13:03:18
1
Jumanne Mtawa :
Kwa nini watu wengi mnapenda kutumia mafundisho ya Njuki
2026-09-27 00:11:05
1
Rehema hamisi :
Sasa mimi kisu tatupa wapi sababu nko mahali hakuna mahali kwa kutupa
2026-09-28 04:32:44
1
IT'S ISSY :
Je hii imeruhusiwa kisheria?
2026-09-24 06:54:07
1
DIZ_; :
sawa shekh
2026-09-26 18:41:50
1
user 6173951915963 :
hapo kisiokotwe na mtu yeyote hapo ni bagumu cz ukitupa kokote lazima mtu akipata akikiona atakiokota tu SI jamani Kuna wale wakuchakura majaa na mskitini wapita njia pia Sasa hio isiokote itakuaje na kikiokotwa
2026-09-24 06:56:53
1
Everlye Kavochi :
nitupe kwenye shimo
2026-09-24 11:23:03
1
Masenary Michael :
sasa huo Moto waanza kuuwakisha saa nne asubuhi mpaka saa sita usiku
2026-09-30 04:42:34
1
Advocate ⚖️⚖️ :
unaweza tumia hata moto wa gesi au hata mkaa
2026-09-25 19:24:03
1
sulaiman nsubuga :
🙏🙏🙏
2026-09-26 17:51:36
1
To see more videos from user @sayyidnaomary, please go to the Tikwm
homepage.