yesu wetu Ni MUNGU hallelujah hallelujah hallelujah we give GOD all the glory
2026-09-24 09:44:04
4
zaitun menza :
Pia mimi nili toka huko lakini siku moja Jesus akaniita njoo mwanangu namimi nko naye paka mwesho simuachi Yesu sku hata moja haijalishi nimetwengwa na family lakini nko na Yesu ndie mkombozi wa maisha yangu in Jesus name [Pray][Pray][Pray]
2026-09-24 12:20:43
138
user8442748184806 :
Tiba ya waislamu imepatikana🥰🥰💓💓💓💓💪🤝
2026-09-24 11:38:49
45
petkam :
Preach Jesus and nothing else.
2026-09-25 06:56:23
2
Aneth :
Hata mimi ninaushuhuda Yesu alinitoa huko leo hii ninakiri Yesu ni Bwana na mwakozi wa maisha yangu
2026-09-24 13:18:19
74
MasuwoodDesign :
Piga pesa ndugu
2026-09-24 12:38:00
22
Juliana Benezeth :
YESU NI MUNGU NA NI MWANA WA MUNGU
2026-09-24 13:06:49
21
Miriam Simwanza :
Kila goti litapigwa na kila ulimi utamkiri Yesu 🙏
2026-09-24 11:24:02
41
Mercy :
mm pia nimezaliwa na wazazi Muslim,nimekuwa Muslim..lakin nikakombolewa,nilitoka huko😊😊
Hallelujah 🙌🙌
2026-09-24 16:37:47
26
Janley#254, :
Hallelujah GOD I give you Glory....
2026-09-24 11:31:40
2
Salama Manyono :
GROOOOOOOOOLLLLY TO ALMIGHTY GOD 🔥🔥🙌🙌🙇♀️🙇♀️
2026-09-24 08:07:37
10
Phyllis Nguyangwe :
Jesus Akbar
2026-09-24 11:16:39
9
official_edymoney27 :
HATA MIMI PIA NILIKUA MUISLAMU ILA SASA NAMSHUKURU YESU NIMEKUA MKRISTO [Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-09-24 15:42:02
25
siri_tz :
muwacheni mungu aitwe mungu ameni
2026-09-24 07:36:08
35
Malume255 :
una moto wako wewe unakusubir mdogo uko kwa Allah
2026-09-24 12:57:02
8
Dr. Abukhalid :
yaan hawa jamaa hawahubir bila ya uongo
2026-09-24 16:17:21
8
Roida Malekela :
Amina yesu ni Bwana na mokozi wa maisha yetu
2026-09-24 07:32:24
5
Rest Gervas :
kila ulimi utakiri Jina la yesu
2026-09-24 12:29:24
10
MAMA wa MATAIFA🏅🇹🇿 :
umependelewa kaka, hongera kwa kumjua Yesu
2026-09-24 12:32:52
9
user5966317379883 :
mungu mkubwa jamani umemuokoa kiumbe wako wakristo BWANA YESU ASIFIWE
2026-09-24 08:17:00
13
palek Abdullah :
natamani mume wangu amkubali Kristo 🙏🙏🙏
2026-09-25 14:26:28
1
Janet Mutunga :
Hallelujah...Yesu ni MUNGU
2026-09-24 19:25:30
0
nelly :
kila ngoti nilatipigwa, na kukiri yesu
2026-09-25 18:52:13
0
user70295811402152 :
mpaka machozi yananitoka
Yesu yesu yesu ni mkombozi wa ulimwengu mzima.
kama hutaki.kumuamini.yesumna uungi wake, subiri siku ya mwisho Ndo utaelewa vzr
2026-09-25 13:11:42
0
To see more videos from user @pastoryusuphmzopola, please go to the Tikwm
homepage.