Kwely toka nianze kutumia iphone nimekua tofaut sana😂😂😂💔
2026-09-24 05:59:34
48
Gee :
Nimeacha vijora sas hv nikipita vingungut wananiita madam 😅
2026-09-24 06:31:59
36
Phina-love :
wadada rich lady havai Massimo 😃
2026-09-24 16:22:28
3
Hyasinta🥰🥰 :
how can I do all of those things and I don't have money.😔
2026-09-24 08:22:36
10
Esy-savage🎎 :
Kama natak kuvaa kama Nicki minaj 🥹😂
2026-09-24 06:13:16
16
_lazaar :
sawa ila how can I start from zero to build something that can sustain a normal income, so that I can start finding a better life
2026-09-24 05:31:40
7
kuchu :
duka huru naomba nikudate
2026-09-24 09:41:31
4
Mpili bay :
wanasema if you get the mental image of the person you would most like to become begin now to act as that person would act in everything you do gradually,impercetibly you will actually become that person
2026-09-24 05:38:33
14
Makunguni Agrovet. :
Hii saikolojia ni ya ukweli kabisa 🙌.
2026-09-24 06:23:20
25
The_liciuos_designs&Tailoring :
Thats me🥰🥰
2026-09-24 06:58:27
5
Frontline Builders :
100%nimebadilikaa
2026-09-24 06:31:12
7
da huzayma :
ni kweli kabisa nilimrudisha ndugu yangu shule kufika nikaambiwa niwalipiye wanafunzi 6 kila nilivyowaambiya sina hela wakanambiya unayooo na nilikuwa sina ata miya na nilienda kariyakoo nauliziya kiatu nilivyowaambiya sina elfu kumi walinichambaaa wananmbiya yani jinsi ulivyo huwendani yani wewe huna elfu 10 😅