SHEKHE KAMA UNAONA MWENZAKO KAKOSEA BAS IPO HAJA YAKUMTAFUTA NA KUMUELEZA KWAMBA KATELEZA SIO KULETA UCHAMBUZI WA NAMNA YAKUMFANYA YY NI MKAMILIFU NA HAWEZI KUKOSEA, NI KHERI NA NIVYEMA ANGEREKEBISHWA ILI YY MWENYEWE AJE AWEKE SW KWENYE MAKOSA YAKO SIO KUMKOSOA HADHARANI KIAS HIKI NA KUWAFANYA WANAFUNZI WAKE WAMUONE VIBAYA.
WALLAHI HAYO MANENO YAKO YAKUFAFANUA YAKWAMBA SHEKH WALID ALIMKEJELI NA KUMTEZA MTUMW MUHHAMD(S-A-W) BAS NDIO HATARI SANA KWASABABU YY HAKUA NA MAANA HIYO WALA HATOKUA NA MAANA HIYO INSHALLAH.
2026-10-11 16:25:36
29
SAMEER FASHION :
bachu huwezi kumfikia shekh walid lielim hata km kakosea
2026-10-10 19:27:25
21
Man Ngemba :
tatizo bachu uko serious sana ukiwa darasani kwako. wenzio huwa ni watu wa utani ili kuvutia umakini wa wanafunzi wao. 😁
2026-10-10 04:52:01
14
Baba mbegu :
sasa hili ni swala la kuwa na argument kuna problems kibao zinahitaji suluhisho, Acha kupoteza muda dunia ipo kasi sana
2026-10-24 00:20:39
1
bin chembe@ :
me bachu simkubali hata kidogo
2026-10-14 21:43:40
7
rajabu omary :
usiwe unaona makosa tu
nakusubiri mtu akoseee umkosoe
2026-09-26 00:05:46
11
KALI :
subhaana Llaah ! utani hataniwi Mtume (SAW) , kwani yanaweza kumpeleka mtu pabaya ; hata ya kukanusha ama kujejea __ ishtihzaai ! lkiwa ni matanj ; basi tutaniane sisi kwa sisi na tena yasiyotamalaki na Dini . Hapo shehe kakosea na Bachu kaliona hilo pamoja na huyo mwanafunzi .
2026-10-19 15:01:54
2
NUH LUXE STORE :
Huyu Shekh Bachu, sijawai muelewaga yeye ni mpingaji tu kila kukicha hio clip ukisikiliza mpaka mwisho ndo utamuelewa shekh wetu
2026-10-24 06:10:42
0
Rahma Mahmood :
kila siku unarudia rudia mwache shekhe wetu
2026-09-24 12:22:50
13
Saidy Shemkay :
acha chuki kk na wenzio hapo shekhe amekosea wapi dah
2026-10-05 19:58:34
4
ngete77@ :
Sasa mbona umeishia hapo? hiyo clip inaendelea...
2026-10-04 21:06:54
2
Prof. Wa Amani :
yani bachu unapenda sana kukuza mambo. na si Kila wakati ni kuchukulia mambo serious sana. Kuna na utani ndani ya maisha
2026-10-14 12:56:54
2
Cde :
Umeikatisha hiyo video, hatujaona hitimisho la Shekh Walid
2026-10-10 12:45:34
5
Mahrez :
hapo ametaka kuchekesha kikao ila kakosea kiukweli
2026-10-20 22:06:53
3
Makame Ally Seneda :
Mohammed Bachu nimeklusikuliiza vizuri na Nimemsikiliza alie kua Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaama. Katika Hili Hakika Sheikh amekosea. Tena amekosea sana. Ana leta Maskhara ktk Jambo la Msingi kabisa.
2026-09-24 19:19:07
8
user4597501146426 :
kwaiyo she Kila anae teleza unamtukana
2026-10-08 19:17:16
1
dhul_mwinyiwiwa :
sheikh hapo alileta utani tu katika darsa lakini sio kwamba haijui hiyo hadith,ni kawaida ya mwalimu kutania akifunfisha✊
2026-10-16 20:38:52
2
mbuso jr :
unatafuta Nini?
2026-10-17 23:05:54
1
Yassin Saburi :
Ungeiweka crip nzima baadae Shekh alitoa ufafanuzi kwa nini yeye hakumdidimiza wote baada ya maelezo hayo. Mawidha ya Shekh Walidi hayakuishia hapo
2026-09-25 04:27:29
6
Champion Nassoro :
YANI KANIMALIZIA MB ZANGU NIKAJUA JAMBO LAMAANA SHEKH WETU ANATOA DARASA LAKN PIA NIMTU MWENYE UTANI NA WATU
2026-10-10 02:33:46
2
azizi gumbo :
anazo patia mbon huposti
2026-10-14 04:36:53
1
NGEMO HERBAL CLINIC@ :
yoko sawa mambo yamebadilika zama hizi
2026-09-24 15:46:26
0
ggaman278 :
SHIDA NIKWAMBA IYO CLIP BACHU KAIKATA UNGESUBIRI ADI MWISHO SHEKHE ALIHIMIZA KUA HAKUYASEMA HAYO KWAKUDHARAU HADITHI BALI ALIMTANIA MWANAFUNZI WAKE MWISHOE ALIMZAMISHA AKAMTOA AKANYWA
2026-10-23 12:23:02
4
Suhaiyyu Ayubu :
hapo kwenye nyota sijaelewa kakee mtume alikuwa nanyota ipi??
2026-10-09 15:14:19
0
.C.a.s.u.a.l. :
sasa wewe backup hukumaliza yote hiyo clip mbele alieleza vizuri tu
2026-10-12 15:58:35
2
To see more videos from user @uislamu_tz, please go to the Tikwm
homepage.