@youngpastor_tz: SIKILIZA USHUHUDA WA PASTOR MUDDY "MGANGA AKUTANA NA CHA MOTO CHEZEA MGALILAYA WEWE." #tanzaniantiktok🇹🇿 #kenyantiktok🇰🇪 #livedemoofmydailyfacewash #creatorsearchinsights #congolaise🇨🇩
daahh mpak najisikia kucheka,,wakuu Mungu anatisha ni mzur hasa ukimuelewa
2026-09-24 13:06:38
36
Elibariki Elias Ngira :
wewe Yesu nakupenda sn
2026-09-24 07:44:47
21
petrokenethofficial :
hakuna kitu kizur kama yesu
2026-09-24 17:25:51
25
Catarina :
Alafu kuna MTU hua namsikia akisema eti yy ni mfwasi WA shetani sijui, Kwa shetani kuna kila kitu amepata pesa,magari sijui na nn .. Shetani mwenyewe anaogopa Mungu.. aiiseeh!HAKUNA alie Kaa Mungu
2026-09-27 23:44:17
5
Anonymous.. Mtumishi.. :
Mungu akubariki pastor
2026-09-28 13:30:43
5
Kamili force :
Ameeen barikiwa sana
2026-09-24 19:58:52
3
user86556135605783 :
Alitumika kuwaleta watu kwa Yesuuu
2026-09-24 19:49:03
8
Shangwe Temu :
YESU NI YOTE JUU YA YOTE JINA LAKE NI MOTOO ULAO
2026-09-24 12:30:50
14
MuebraniaTz :
Ameen Yesu ni Bwana
2026-09-28 16:56:58
4
AnnaGuru :
Amina mtumishi 😂😂
2026-09-24 08:14:36
5
Bisheni Laison Gadau :
Nakupenda Yesu Unatisha
2026-09-24 17:28:37
8
Theresia John :
Yesu MZURI jamani mpaka nasikia furaha 😄😄
2026-09-24 12:42:07
9
LABSON NDITIYE :
nishawahi lishwa neno na huyu baba TAG amani moshi...ana mafuta balaaa...ubarikiwe sana uliepandisha hii