@shambashine: Call:0658019731\ +255703819731 Kama una miti 60 ya nazi kwa ekari 1, na kila mti ukiwa umefikia uzalishaji kamili: 40 nazi/mti kwa mwaka → 60 × 40 = 2,400 nazi 60 nazi/mti kwa mwaka → 60 × 60 = 3,600 nazi 80 nazi/mti kwa mwaka → 60 × 80 = 4,800 nazi 100 nazi/mti kwa mwaka → 60 × 100 = 6,000 nazi