Amina na Mungu aniondolee yezebeli katika maisha yangu
2026-09-24 16:08:43
0
graysonmariki :
MUNGU NAOMBA NIONDELEE LIEZEBELI KWENYE MAISHA YANGU.
2026-09-24 10:19:55
0
_wingamzoefu2026 :
Mungu uliyeondoa yezebeli wa Elia naomba niondolee Ma yezebeli wangu IJN
2026-09-24 10:17:15
0
kasara02 :
Aisee Mungu akikutaka anakupa mlango wa kutokea kwenye changamoto.
sarah Mimi i didnt forget hawa MAYEZEBELI wangu maana wapo ktk familia wamenitafuna mpk basi,kazini,ninapoishi,nilipoolewa kifupi pakupumilia sina.
Napokea kuondolewa hawa MAEZEBELI maana nimichanganyikiwa...ila naponaga sana na mafundisho yako,shuhuda zako napona sana na kupata nguvu mpya nikikusikiliza.
2026-09-24 10:06:56
0
Bigg Vibe :
Amen
2026-09-24 09:46:40
0
Edna Stanley Mmbaga :
Amen 🙏 🙏
2026-09-24 09:36:34
0
Gee :
Amen
2026-09-24 11:30:56
0
To see more videos from user @revdrelionakimaro, please go to the Tikwm
homepage.