@realmishikaah: Katika ajali kubwa na mbaya duniani si ajali ya gali ama ndege, bali ajali kubwa duniani ni kukosea kuoa #videoviral #viraltiktok #nasaha #baba

𝐌𝐢𝐬𝐡𝐤𝐚𝐚𝐡
𝐌𝐢𝐬𝐡𝐤𝐚𝐚𝐡
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 06:10:34 GMT
84878
4214
156
755

Music

Download

Comments

realmishikaah
𝐌𝐢𝐬𝐡𝐤𝐚𝐚𝐡 :
Katika ajali kubwa na mbaya duniani si ajali ya gali ama ndege, bali ajali kubwa duniani ni kukosea kuoa
2026-09-24 06:16:34
31
emma711113
emma :
Ajali kubwa Duniani.. si kukosea kuoa.. wala kugongwa na gali. bali ajali kubwa Duniani ni kuacha kumwabudu mwenyezi mungu ☝️☝️
2026-09-28 16:20:14
6
chidy.iddy
chidy iddy :
nimemlia nimecheka ujue nimeipenda hiyo aisee respect nakupa💪
2026-09-26 04:41:42
2
maikojaphet138
Maiko Japhet :
this song is very good
2026-09-24 21:34:12
1
mamabeby09
Mama baby🇹🇿 vs 🇴🇲 :
nakukosea kuolewa wallahi thumma wallahi ni mbaya sana🥺🥺🥺🥺🥺
2026-09-28 16:45:07
1
dankindankinnoposition
Dankin Dankin no position :
Hapa ni mimi kabisa nimezungumziwa I wish ningepata nasaha hii mapema singejutia kuwa kwenye ndoa 💔💔😞😭
2026-09-24 16:00:10
7
muftiderham01
🌹MANENO 🌹YA🌹 DHAHABU🌹 :
nilikosea mara ya kwanza kumpoteza Alie na thamani kubwa kwangu [Heartwarming]
2026-09-28 11:01:16
2
paigemeo1
𝔭𝔞𝔦 𝔤𝔢𝔪𝔢𝔬 :
nilikosea mara ya kwanza lakini mara ya pili namuomba Mungu anijaalie mke bora na aliye mwema mwenye huruma na unyenyekevu kuna muda tunakosea ili tujifunze nilichokiona nikwamba uzuri wamwanamke haubebwi nasura nashepu tu uzuri wa Mwanamke ni tabia njema Tabia ndio itafanya ukadumu naye mpaka kufa Mungu atupe wanawake walio wema 🙏
2026-09-27 06:05:17
4
mrnizzy.jr
Mürnizzy Jr :
Shukran brother
2026-09-25 04:50:20
1
wajongo
Nassibu. :
Wakati mwingine tunakimbilia kile kinachong'aa machoni, huku tukiacha kile kilichokuwa nuru ya mioyo yetu. Na siku utakapogundua tofauti, huenda ukawa umechelewa,,,,. mwisho wa kunukuu hii ndugu zangu imenikuta badala ya kuoa mtu ambae nmeonyeshwa na Allah nimeenda kuoa niliempenda leo hii hayupo nami kwasasa vijana wenzangu kwenye suala la kuoa tumshirikishe sana Allah maana yy ndie ajuae nayeye ndio uwezo wa kukuonyesha kama nilivyoonyeshwa mm dumu katika ibada ndani ya siku tatu funga siku moja kati ya hzo tatu omba Allah akuonyeshe mtu sahihi Inshaallah kwa idhini yake atakuonyesha🙏.
2026-09-27 03:52:55
4
hashimuhussein73
Hashimu Hussein :
Allah atujaalie tutapate Wanawake wema , Allahuma aamin 🤲
2026-09-26 04:51:44
2
abdallahawadh09
Abdallah Awadh :
mashallah Allah barik 🙏
2026-09-25 01:06:42
1
machoshop24
machoshop24 :
Masha Allah ujumbe nzito sana Allah atujalie tupate wake wenye mapenzi ya dhati Aamiyn 🤲
2026-09-24 17:15:20
7
ibrahim.swalehe71
iBRAHIM SWALEHE :
hakika kaka
2026-09-25 08:00:50
1
user5101175791610
Ayoubu kadabra :
I.R.P. BABA [Pray][Pray][Pray][Pray]
2026-09-25 09:56:26
0
nuru.mkumba3
Nuru Mkumba :
hata kukosea kuolewa na mtu aside sahihi unataman urudishe muda nyuma ufanye maamuzi upya
2026-09-28 18:33:12
1
william.edward.za
William Edward Zanzibar :
siwez kupita bila kuacha swadak yangu 🥰
2026-09-24 15:04:14
1
cute.thuu15
~cute thuu♥️♥️ :
2026-09-24 20:40:05
1
chamoo_k
CHAMOO :
nimeamuwa kukufollow kabisa kdg tu yangenikuta kwa kihere here cha moyo😁
2026-09-24 17:20:39
1
vg41876
Vg :
Mungu amenibariki na nimebarikika, mana ninapendwa!
2026-09-25 14:37:25
2
official_lucc
lucy_cute👸 :
sawa
2026-09-24 18:11:18
0
jafarisaid719
jafarisaid719 :
maashallah nimependa husia huo mwenyezi mngu akupe kila lakheri ,hekima na busara zizidi kukutawala
2026-09-24 17:18:25
3
araphatybwamkuu6
mjeur!26 :
perfect
2026-09-24 15:14:54
1
user8224072524817
@hudhfa official :
ahsante sana na sie tutachaguwa waume wazuri wa kutuowa
2026-09-25 15:30:55
2
mudy.3
Mudy :
😌
2026-09-24 18:41:39
0
To see more videos from user @realmishikaah, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About