@iran.tanzania: “Sisi si magaidi. Sisi ni waathirika wa ugaidi. Sisi tunajilinda.”— Rais wa Iran, katika hotuba yake kwenye Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNGA).
iran.tanzania
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 06:16:21 GMT
Music
Download
Comments
Meshack :
halafu Kuna mwanaume unakuta anaisaport marekani
2026-09-24 09:39:59
16
sebastian :
wenzetu wanaongea kwa lugha yao sisi sasa 🤣🤣
2026-09-24 08:08:24
16
Médian kahindo :
ir tofays
2026-09-24 17:26:15
0
Triple 'S' :
real man real herou
2026-09-24 07:13:56
3
Alfaaruuq online tv :
mtu na ndugu yake hao wanajuwana bwna
2026-09-24 20:49:14
0
Fadhili Magana :
mbna mm vijidhambi vyangu naona kubwa na najihisi kumkosea mungu sana vip trump ma netanyahu watajib nn kesho kiama
2026-09-24 11:49:56
2
Faridi Zaid :
mpaka nimeria 😢😥
2026-09-24 16:37:45
2
hasani :
duuuh inatia huruma jaman
2026-09-24 12:18:58
2
sangijo4 :
jamani da 😭😭😭
2026-09-24 09:49:22
2
mtitu.the.don :
daaaah
2026-09-24 10:06:30
3
Godfre :
kweli
2026-09-24 09:56:32
2
Daud Mlahangwa :
sisi watanzania bado sana jamani wenzetu wameenda uko ila wanaongea luga zao sisi tunaongea kingereza ni matatizo
2026-09-24 16:50:59
1
mohamedi mtaka :
waambie ukweli mtupu babaaaaa
2026-09-25 00:09:13
0
Hassan Abdi 1085 :
Ki ukweli Marekani na mazayuni ni magaidi kupindukia ✅✅✅
2026-09-24 11:15:01
1
aksantimarcelin4441997 :
Ukweli
2026-09-25 00:15:16
0
THE TRAVELLER 360 :
yani hii dunia ,muuwaji ana mwita victims gaidi kweli?
2026-09-24 19:38:28
0
user8722512466383 :
ukweli unauma
2026-09-24 19:24:55
0
🇹🇿✌️🇸🇦💪🇵🇸✌️🇶🇦 :
😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu ona hili
2026-09-24 10:26:14
0
Omary Nyanza :
poleni sana M/mungu atawalinda insha-Allah
2026-09-24 16:03:34
0
dotomtei :
yoyote anae i saport marekani kwa ugaidi wake kwanzia Sasa atakua adui wangu no 1
2026-09-24 16:57:13
1
THE IRGC NAVY :
2026-09-24 08:03:07
2
young swaah :
nakuambia hiv nchi yenye viongoz wazalendo hap duniani ni tatu kwanz iran pili urus tatu china hao ndo wazarendo waliobaki wote ni wakoroni wa ulaya
2026-09-24 10:54:15
3
Ummy Darius halifa :
I luv iranian people 🥰
2026-09-24 08:05:50
4
faraja :
sasa nyie cndo mlisema mna silaha nzito kulikoni Leo mnalalamika
2026-09-24 14:54:18
0
linda mgongo 24 🤣🤣🤣 :
ugaidi una tokana na nyinyi
2026-09-24 19:45:10
0
To see more videos from user @iran.tanzania, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.