mimi naona kuna ndugu wengine anamchohe ndugu yake baba mmoja mama mmoja lakini hampedi ndugu yake mkubwa hana kitu mdogo Mungu anamfungilia sasa ndio chuki ikaaza anamtiliya fitina sana
2026-11-16 21:19:40
0
Halima issa :
mashallha
2026-10-14 06:49:11
0
nawal :
wako wapi ndugu hawo siku hizi walikufa kitambo
2026-11-20 03:30:03
0
To see more videos from user @ambassadormuftiibrahim, please go to the Tikwm
homepage.