nimefanya hivyoo banaa kanitukana snaaa akamrudia X wake hawajamaliza wiki wameachanaaaa🤣
2026-09-24 10:54:27
43
Roderick Percival :
vipi kama tayri ahsakuwa mkewako bro
2026-09-24 06:46:44
20
Zainabu❤️ :
Ndo nafanya sasa dah najikuta namhurumia anavohngaika!!anavolalamika simpendi tena cjui nn?!!eti ninamtu mwngne wakati sina sema nimemua tu kuishi maisha yangu kujipenda bize na kaz zangu!!!
2026-09-24 09:15:10
39
user82153536 :
Kaka naomba ushauri mm nikimtumia masage hajibu Sasa ninawaswas
2026-09-24 16:25:30
11
Hamyda.G.Love❤️ :
Yani mtu anajifanya km hajakosea
2026-09-24 09:07:29
31
Asha 🍫 :
kiukweli hiki kipindi napitia hiyo Hali Ila nahitaji nifanye Kama unavyo sema
2026-09-26 19:55:53
6
Zuuh Sule :
ndugu yangu mim nimemtoa mbar ira nianazarau vibaya tena jeuri navumiria mpaka namwambia tuachane anajibu sawa tuachane bs nachoka sijui nifanyeje nimechoka sana
2026-09-25 03:49:39
4
Doctorlove♥️♥️ :
very true hundred percent hakika kweli kabisa
2026-09-24 20:09:26
2
Medi Perfect :
oh Nashukuru sana nimemove on.. now Nina furaha yangu
2026-09-24 14:52:43
5
happymush877 :
kabsa hyo ni point kaka yangu
2026-09-24 06:42:34
10
keziah :
watu wengine hujiona sukari
2026-09-27 05:47:39
5
HFINE 🦋🦋 :
wangu analalama anatamn kulia tu wengine ukisameh wanarudia
2026-09-24 20:02:19
4
josephine john :
asante kk umekuja wakati sahihi kwangu!
2026-09-28 14:03:06
5
dottomfa :
mi mwenzenu ni group o + icho kiburi chake mimi nafikili ni mwalimu wake uwiiii akijibu dry acho kutana nacho huwa haamini sitaki mazoea group langu la damu ni dhahabu😁😁
2026-09-28 05:59:31
3
ummusul :
kweli kabisa kaka shukran
2026-09-24 10:27:17
3
Baby ilam :
True
2026-09-24 10:46:08
3
Joyce :
kweli kaka
2026-09-24 08:44:48
3
K A K T U S🌵 :
2026-10-09 05:18:46
1
🍁miss baek🌿🌿 :
nd nafany ivy nasubir matokeo ty ntakuj kukwamby 🙌🙌
2026-09-24 13:05:34
3
Im.candy🦋🦋🦋 :
Kaka nimekuopenda umesema tabia ya mmwanaume wangu Toka nianze kujibu Sawa ameniblock mana nilikuwa namnyenyekea anataka umjibu Kama yeye mfalme akisema kitu umefanya anatka ukubali sasa mm siku akasema unatoka na mbaba na najua ni uwongo nikasema Sawa akaniblock na mm nimekaaa kmy naaamini atarudi🙏
2026-09-26 10:16:03
3
sashavent.1 :
nimemuacha sio kibur na dharau juu
2026-09-24 19:46:37
2
Najma hamis :
mpptezeee tu wala usijali pia ilinitokea now maumivu yanaisha sas jambo ni ngumu jitaidi tu maan utakua unajipa strees nae ataajali we tulia tu asipo kutafta nawe usimtafte
2026-09-27 18:35:02
2
sebastiankibiki57 :
yani unamuuliza mbona uko bize sana anakujibu ana mambo mengi! ok namimi acha nianze kuwa na mambo mengi
2026-09-28 05:50:07
2
Pruchelia Mathew :
thanks
2026-09-24 10:56:46
2
@ummy ima :
Allah anilinde na kiburi ni mtihani mkubwa huu
2026-09-26 07:27:52
2
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm
homepage.