@pretty_lioness_5: Siku zote nimeamini kwamba true love is not about perfection, it’s about genuine intentions. ❤️ Sitafuti mtu wa kunipenda wakati kila kitu kiko sawa tu. Nataka mtu ambaye atabaki hata pale ambapo life gets hard, mtu ambaye atanielewa bila kunifanya nijieleze kila wakati, na ambaye presence yake itanipa peace, not confusion. 🤍 Upendo wa kweli sio kusema “I love you” kila siku, bali ni kuonyesha kwa matendo. Ni loyalty, respect, honesty na kujali hisia za mtu wako. 🥹❤️ Mimi naamini ipo siku nitaupata ule upendo ambao hautanifanya niombe attention, hautanifanya niquestion my worth, na hautanifanya nijisikie niko peke yangu nikiwa kwenye relationship. I just want a love that feels safe, genuine and real. ❤️🩹✨ Kwa sababu mwisho wa siku, moyo hauhitaji mengi… unahitaji tu mtu anayejua kuutunza. 🫶🏽 #UpendoWaKweli #TrueLove #Ambenwe #Love #Mapenzi
@pretty_lioness
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 06:41:20 GMT
Music
Download
Comments
Moxxy..G☠️☠️ :
Me nimekuelewa tena snaa my sis🥺🥺… but am sorry naelewa situation ambayo unapitia🥺💔… but usjalii keep going💪…and kam utaitaj tupeane moyo worry out nichk me nipo tayarii tupge stor coz ata mm piah kuna vtuu vinaniface na sjuh nimuelezee nanii
2026-09-24 19:41:26
0
♓Eddah🌱🌸 :
That's my fear too, but everything will be fine mumie 😔🫂💗
2026-09-24 21:45:21
0
@quiet.luxe😏🦋 :
I know what you’re passing through MUNGU akupe wepes try being strong Nipo najifunza pia
2026-09-24 15:14:36
0
𝐩𝐬𝐲𝐜𝐡𝐨𝐭𝐡𝐞𝐫𝐚𝐩𝐲🥹🫀 :
hakuna linalodum milele🥹🥰babe garl ue will be fyne
2026-09-24 12:57:47
0
Tee Luxe Cosmetics 🍭🖤 :
I feel sorry for you ma🥺❤️hope love will find you again and again ❤️
2026-09-24 21:00:00
1
Ms naah✨💦 :
daah my situation for now🥲🥲 ,pole dear tupo wengi
2026-09-24 20:57:27
1
@mick 31 :
nini shda lamam🥺🥺🥺
2026-09-24 12:06:26
1
Williamalbinus Samson :
lonely 🥺🤍
2026-09-24 21:10:49
1
Hasley :
ttzo mda mwingne watu wanataka tuwaabudu mtu unamwelezea ktu lkn anataka umuelezee mara tatu mara nne the Same thing na akishajua unampenda anatumia upendo wko kma udhaifu wa kutaka kukupelekesha. inaumiza Sana lkn mda mwingne inabd tuwaache waende hasa mtu ulishampenda sana🥺🥺
2026-09-24 17:45:55
1
mtu makin🚆🚆@ :
mpe yesu maisha yako mahusiano mwachie roho mtakatifu atakuletea mtu sahihi mda ote njoo dm nikuunge na group la maomb la saanane usiku njoo umuombe Mungu nauseme nae haja za moyo wako
2026-09-24 09:24:03
1
jasmin🌸💦🌷 :
Na hii imeniliza leo tu 🥺🥺
2026-09-24 16:22:42
1
zipora ngaina😘 :
Mimi nipe t namba yako tufalijiane wenyewe hakuna namna😭
2026-09-24 17:14:12
1
🦋hEr🤍🌸 :
Hugs stranger 💔
2026-09-24 20:20:06
0
Official mchapakaz 🇹🇿 :
sorry
2026-09-24 19:44:39
0
Tee💜 :
Pole babe nakuelewa sanaa🥹🫂
2026-09-24 22:21:25
0
mnace :
mungu akutie nguvu kpnzi
2026-09-24 20:09:32
0
pretty anney♉ :
vip ten kipenz chang mbon hvy
2026-09-24 06:54:17
0
nanah🥀♥️ :
usilie Sasa mtoto wangu mzuri 😭😭
2026-09-24 07:13:31
1
~Päbîtø❥Xøxø🫂🎱 :
10/10
2026-09-24 08:50:05
0
Justine :
Nimekutumia ujumbe dm
2026-09-24 23:15:37
0
Betty🫀❤️ :
🥺🥺
2026-09-24 19:48:46
0
Tee💜 :
Pole babe nakuelewa sanaa tu🥹🫂
2026-09-24 22:22:56
0
nadiah 1209🐬 :
wamekufanya nn tena binti yetu😅
2026-09-24 17:21:08
0
thevoice90 :
Usikate tamaa amini katika mungu usivunjike moyo
2026-09-24 20:59:10
1
it's linah ❤️💕 :
Pole kipenz 🥰😘
2026-09-24 07:18:48
0
To see more videos from user @pretty_lioness_5, please go to the Tikwm
homepage.