mm nimeota magali mengi yamejipanga mbeleyangu na kunamtu ananiomba msada je nidalili iyo inamanisha nn
2026-09-24 18:16:59
0
mwami :
aswa
2026-09-24 17:15:33
0
Bi Mzuri❤️ :
mie niliota nimejenga nyumba na nikawa nafug kuku
2026-09-29 21:46:55
0
pastor Amos :
naukiota ukioka madini
2026-09-24 20:30:40
0
maderiko :
Sheh, njee ukiota unatembeya kando ya baharini, afuu ukavuna samaki wakubwa, hafu wajikuta kile kikapu ulibebeya samaki ukakuta kuna mfupa wa nyama mkavu nikawasha moto mara mbili moto uliyo waka ni wasamaki moto wa majivu nikazikiya huo mfupa....samaki walikuwa wakubwa sana mfupa mdogo sana
2026-09-24 07:41:52
0
victorine :
🙏
2026-09-30 09:08:37
0
To see more videos from user @dr.sulee, please go to the Tikwm
homepage.