mimi nimepata anae nipeleka clabu watoto wakilala ila sasa mkifika uruhusiwi kucheza hata kidogo
2026-09-24 16:40:59
30
Ester :
sijawahi taman hata 🤔
2026-09-24 16:33:07
45
💕Happie💕=98 :
😂😂😂Acha tu tena mamtu naepigwa matukio dairly
2026-09-25 16:33:26
17
eve mo :
naomba nipate lafiki wa kunipenda mimi na kitoto changu cha myez4 anitoe out ivoivo na kitoto changu maana wote wamenikimbia jmn😔
2026-09-26 12:06:58
5
Minahcuteh cosmetics 💄 :
wa dar kesho wekend twnd pmj
2026-09-24 16:55:26
11
Muahn❤️ :
nahitaj marafk wawili kampan ya kwenda club
2026-09-24 12:01:22
44
Sarah Berry 🛍️🔥🙌 :
😂😂😂kwann lakiniii
2026-09-24 09:30:17
6
princess keila :
that will be me next yr 🤣🤣🤣🤣
2026-09-25 05:36:29
1
Rey tz :
hahahaha pole
2026-09-24 17:36:13
1
Baby girl :
aijalushiiiii
2026-09-25 04:06:52
1
nuraty :
ndio tulicho amua akuna neno japo moyon inauma
2026-09-25 01:45:52
6
angel kissey :
Jaman nataka rafik wa kike kigambon
2026-09-24 15:42:56
9
Habibty _suhy🌸 :
bora we unaangalia wakiwa club mi siku ya mei mosi naview status kila mtu kajipost na kitambulisho chake cha kazini mi nipo hondo hondo mlez wa wana na ndoa yenyew zigzag😓😓😓😓
2026-09-24 17:44:31
15
mileeeh :
nime cheka kama chizi 🤣🤣🤣🤣
2026-09-24 18:36:36
7
Mrs A ❤️J💕H :
Na ndio njia sahihi mamy
2026-09-24 19:12:19
10
agness :
tunao jifungua mwezi wa kumi na mbili nisili zetu hk sikukuu zote zn tupita😂😂
2026-09-25 12:46:13
16
saumu ndago😍💋 :
pole mwenetu
2026-09-24 09:07:38
6
rujaina wa donyo :
daaah mwak jn imentesa san hii
2026-09-24 10:16:53
5
Salome Lukasi :
hicho ndo kinataka kunivunjia ndoa yangu malafik zangu Kuna mda nikiwapigia wanasema Leo tunatoka mim naishiwa paw
2026-09-25 09:16:06
5
Gimah💜 :
ndy hali nayo pitia saiv🥹😔
2026-09-24 12:26:38
7
To see more videos from user @jassy.savage68, please go to the Tikwm
homepage.