@church_girl08: Muota ndoto hafi mpaka ndoto yake itimie... Mtu wa ile saa yake 🔥🔥🔥 #jasusilambinguni #gwajima #viralvideo #fypシ #fyp #gospel #bible #jesus #fyppppppppppppppppppppppp #ufufuonauzimacathedral #tanzaniantiktok🇹🇿 @Bishop Dr Josephat Gwajima
church_girl08
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 07:48:44 GMT
Music
Download
Comments
Rima daniel :
Mungu msaidie mtumishi wako atimize ukipendacho wewe
2026-10-09 05:20:28
6
Mwl Elisha Cosmas :
hakikà yesu yu hai ndani yako
2026-10-11 04:14:19
2
Moïse NDIHO :
Ee Bwana Yesu Kristo na Bwana Mungu wangu mlinde MTUMISHI WAKO BABA GWAJIMA ILI ATIMIZE KILE ULICHO MUITIYA KATIKA ICHI YA TANZANIA🙌🙌🙌🇨🇩🇹🇿
2026-10-12 07:47:48
2
joram kaiza :
Man of God 🙏
2026-10-11 04:10:26
2
debora stephano :
kweli mtumishi we nimtumishi ulie tumwa namungu
2026-10-10 12:21:46
3
Neema Wambula :
Ameeni nakukubali kuwa wewe umetumwa kuwafusha wanzania mahali mungu akupe uwezo na nguvu zaidi
2026-09-30 07:41:51
5
MWANI CITY CONNECT :
kiukweli kuna wakati Mimi nikikuangalia Baba naona kabisa ni MUNGU katika sura ya binadamu,ila wachache watanielewa
2026-10-10 14:01:36
3
Official @Robert Tz 💕 :
Man of God Mungu akutunze sana Baba Gwajima 🥰
2026-10-02 15:48:46
4
Amtridy :
Alipangalo Mungu hamna wakupinga atukuzwe yeye pekee
2026-10-06 07:17:06
3
Mashaka135 :
Amen mtumish
2026-09-29 19:26:01
1
bibi :
kila wakati na majira yake baba tunakuelewa sana
2026-09-30 06:36:14
3
samsonkiti :
Amen 🙏
2026-09-29 16:56:26
1
Nickson Sanga :
tumekuelewa baba yetu amina mungu akulinde
2026-09-30 18:38:24
3
majormajomjohn :
The president
2026-09-26 14:56:58
1
Ruth Ruthiee :
Amina
2026-10-05 10:18:05
1
Neema paulo / mussa@. :
Ubarikiwe
2026-10-02 18:56:01
1
via wa fifi :
Amen Yesu atakulinda baba gwajima
2026-09-28 18:53:20
2
kiongoz00 :
amen
2026-10-04 05:05:52
1
kalutasalimo :
Yesu yuko na wewe
2026-09-29 06:04:18
2
Laniigar :
i pray that you become someone or something that drives this sold nation
2026-09-27 20:00:34
2
Emazack :
kama unajiamin siumtaje jina
2026-09-29 22:29:11
0
MJUMBE WA KRISTO :
2026-09-25 08:12:53
2
majaliwatz4 :
Mungu akuvushe salama katika haya mapambano katika jina la yesu ☝🏼
2026-09-28 18:15:15
2
SISTER IN CHRIST :
Amen baba nakwamini sana
2026-09-25 07:43:01
3
user310101968375 :
Mungu akuwezeshe baba.
2026-09-26 17:07:12
1
To see more videos from user @church_girl08, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.