uogo hio ni 2009 kwazia 2010 tayali stend ilikuwepo iliyopo adi leo boss
2026-09-25 09:27:51
0
Ginnah008🌻🦒🦒✨️ :
Stend ikoje
2026-09-24 16:06:12
1
Neema Mwashimba :
kitambo
2026-09-26 03:23:25
0
everything kanike :
dah umenikumbusha mbali! enzi hizo panaitwa soko la ggm! mvua ikinyesha tope pabaya hakufai
2026-09-24 18:25:39
0
👑I am ❣️Amand❣️ :
kipind hicho baba angu ana pesa huko ndy alikuag ananinunulia nguo bt now🥺..
2026-09-28 19:15:38
0
TBTMOVIE1🇹🇿 :
ni stand sio sitendi😂
2026-09-24 21:09:08
0
official isack255 :
Dah umetisha mzee umeturudisha nyuma kinoma
2026-09-24 19:15:26
0
Francisco Mahendeka :
iyo gari bado ipo naikumbuka sana 🤣🤣🤣
2026-09-24 19:55:38
0
innocentantony815 :
unanikumbusha mbali sana kipindi hicho ndo stand na soko kuu la vyakula
2026-09-25 07:22:28
1
Nkilila_Sportswear :
Kuna stendi ya mwaka 2000 . Ikinyesha nvua ha ha ha hapapitiki enzi hizo kitu inatamba ni Lushanga. Hapo nyuma kuna mtu anaitwa malaji laini 😂😂 unapiga supu unapanda Lushanga mwanza moja hiyo. Waheng tujuane
2026-09-24 18:14:29
4
Euphoria :
mtumieni mkuu wa mkoa bhana 😏
2026-09-27 15:39:59
0
KingC :
kitambk sana
2026-09-24 18:04:31
0
Gerlad :
hilo benchi nina histolia nalo acheni kbx
2026-09-27 21:52:21
0
IDDY SANTOS 🦅🔥 :
kwa mbaaali naliona soko la samaki
2026-09-24 20:14:19
0
Life is a game :
👍👍👍
2026-09-24 19:48:22
0
Ngusa juda :
🥰🥰🥰
2026-09-25 09:47:39
0
Nancy🧚♀️ :
😂
2026-09-24 15:20:51
0
miss Asnath madini💎💯🍀⚘️ :
😎
2026-09-24 13:24:22
0
Ngusa juda :
😁😁
2026-09-25 09:47:51
0
To see more videos from user @janeth.fruit, please go to the Tikwm
homepage.