@islamicswahilinet: Sifa ya Mwisho ya Mke Bora Chumbani? Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 24 September 2026 08:37:18 GMT
56033
4435
57
713

Music

Download

Comments

amthaf.sheybz
amthaf sheybz :
ya Allah tuongoze ss wanawake 🤲🤲
2026-09-24 12:24:55
18
user5231158142582
salma :
kabisaa umeongea kitu apo
2026-09-24 17:42:24
1
katiaamisse2
katiaamisse2 :
insha allah insha allah
2026-09-24 17:56:57
1
side_balee
side bale :
2026-09-24 17:23:42
1
user910865006368
user910865006368 :
Ucha Mungu ni kwa mume na mke. Hata m’me pia karuzukiwa na Allah kua na mke na si kwa nguvu au uhodari wake. Wangapi wanapita kuposa hawakubaliwi?
2026-09-24 17:56:48
2
queen.pok
Plaisir d kiyana :
Amen amen
2026-09-24 19:00:35
1
zawadi.783
zawadi 78 :
nimekuelew sheeh naanz na hiii
2026-09-24 15:24:52
1
omarbatti808
Teja wa mapenzi :
wanawake mumeskia ama tuongeze vollume
2026-09-24 17:01:21
0
user6256835396813
Naina khan :
inshaallah Allah atuongoze
2026-09-24 08:41:40
3
fatuma.zainabu
fatuma zainabu :
swadakta
2026-09-24 15:45:35
1
kamasoph
𝐻𝑎𝑛𝑎𝑦𝑎 🥰🌺 :
𝐤𝐡𝐚𝐬𝐰𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚𝐚
2026-09-24 15:25:08
1
wardaward784
Warda Ward :
haswaaaa sheikhun kabiir
2026-09-24 12:59:30
0
k.n.j06
💫Meymuna :
in shaa Allah
2026-09-24 11:58:14
1
user2123924351318
user2123924351318 :
subhanallah makubwaaa baba
2026-09-24 12:31:29
2
sumaya.ali49
Sumaya Ali🇰🇪🇦🇪🇪🇦 :
2026-09-24 11:29:42
1
husna.tahir5
Husna Tahir :
sawasaw
2026-09-24 11:27:22
1
valverde0002
7 :
Hamjaskia au
2026-09-24 10:53:28
2
user378261612668
user378261612668 :
swadaktaaaa
2026-09-24 10:29:32
1
wahidsaid288
aw.albusaeed :
swadakta
2026-09-24 12:02:52
3
fatuma.saidi675
Fatuma Saidi :
kweli
2026-09-24 19:28:06
0
jamalsalim661
yamaldin :
yes
2026-09-24 19:20:45
0
hemedi86
Hemedi :
Kwani Maana halisi ya Malaya ni nini Masheikh zetu matushughulisha sana na hizi darsa zenyu potovu Malaya si ni mwanamke anayepeyana Ngono Kwa Nia ya kupata Malipo juu ya uzinzi wake au ni vipi
2026-09-24 13:12:46
1
fatumayusufu41
fatumayusufu41 :
tunayafana na wanenda hayo nimambule shekhe hata umunyeshe umqlayagani🤣
2026-09-24 15:17:14
0
nuurat.kaniki
Nuu5996295945 :
Yan nnavyo hasira na uyo mume mwenyw jeuli uwo uhuni at simfanyii
2026-09-24 16:16:19
0
killler406
nouh :
@mumuuh🌹
2026-09-24 15:48:11
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About